concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 7,006
- 15,486
Tuongee kwa evidence sio kwa maneno zilete hizo bungalows kwanzaBongolala, we know your most exclusive etate (mtaa ya matajiri) ni Masaki na yenyewe ni apartments kushoto kulia. Sasa hayo bangalows unayotubia hapa yako wapi wakati Masaki 80% of buildings ni apartments, the kind you'd find find in Kileleshwa, Lavington and Kilimani.
Our rich neighborhoods you can't find apartments kama zile za Masaki. Nenda Karen, Muthaiga, Runda, Spring Valley, Lower Kabete, Kyuna, Kitisuru, Gigiri na Loresho kama unakutana na apertment. Huko ni bungalows kwote kwote