Who exactly was pointing out? Is it govt or some environmental NGOs., and they have a right, coz they do the same even here, so tuko vizuri kwa vile wanapinga some development projects?.., walikataa Southern Bypass it affect Nairobi National park, they opposed expressway so???., inamaanisha sera zetu ziko sawa just because wanapinga maendeleo kisa environmental factors? boss think!Umesahau magazeti yenu yalivyokuwa yakipinga tusijenge bwawa kisa tutaharibu mazingira?
Nikisemaga hili jamaa ni jipumbavu watu waone sasa. 🤣🤣🤣🤣 hii battle inahusisha picha na videos.. hakuna kitu kingine tofauti na hivyo. Hili jitu jinga kwasababu linapingwa likileta umatako wake linakasirika. 🤣🤣🤣. Usidhani utaeleza empty talks zako tukakuacha u flex wewe kichaa.Lazima nishuke nije chini sana kwa level yako ya vipicha ndio tuelewane, ka sivyo hatuna la kujadiliana🤣🤣
Affordable inapikwa pole pole kilaza,. Slum
View attachment 3333311
Affordable housing haiwezi faa kwa Kila eneo, Kuna nature ya watu. Asilimia kubwa ya watanzania hawapendi kuishi kwenye msongamano labda kwa wale wanaoanza maisha ila nao wakishapata hela ndogo tu wanaamua kujenga, Tanzania sifa kubwa sio gari bali nyumba unayoishi.Yeah easy , hela ndo kila kitu unaweza hamisha watu ukajenga low cost housing ukawapeleka makazi mapya unatenga like 300mil usd wizara ya ujenzi ndani ya miaka mitano umeondoa slums, kama tunaweza kufufua ATCL hii haiwezi kutushinda
Kwahiyo hapa mwenyewe unajiona umejadili jambo la maaana ..🤣🤣🤣🤣 majitu mapumbavu bhana.Who exactly was pointing out? Is it govt or some environmental NGOs., and they have a right, coz they do the same even here, so tuko vizuri kwa vile wanapinga some development projects?.., walikataa Southern Bypass it affect Nairobi National park, they opposed expressway so???., inamaanisha sera zetu ziko sawa just because wanapinga maendeleo kisa environmental factors? boss think!
Kwanza tumsaidie hizi nyumba za tope zilikuwapo kigoma miaka mitano mpaka kumi iliyopitaHeb leta tena zile nyumba zako za mombasa. 🤣🤣🤣🤣 sahii huzipost tena.
Mombasa ni tanga iliyochangamka.Kwanza tumsaidie hizi nyumba za tope zilikuwapo kigoma miaka mitano mpaka kumi iliyopita
View: https://youtu.be/jo5uaWcecH8?si=lsXzlWOEiYI3j5VH
Kwahiyo serikali itazuia watu wasipige picha watu wenye jiggers. 😝😝😝😝😝Ask your government. They know. 🤣🤣
Kwa nini hatukusikia kelele kama hizo kutoka Rwanda, Burundi ama Zambia? kwani huko hakuna NGOs?Who exactly was pointing out? Is it govt or some environmental NGOs., and they have a right, coz they do the same even here, so tuko vizuri kwa vile wanapinga some development projects?.., walikataa Southern Bypass it affect Nairobi National park, they opposed expressway so???., inamaanisha sera zetu ziko sawa just because wanapinga maendeleo kisa environmental factors? boss think!
Muulize Ruto anawajua😁...., who is World Blank if I may ask?
Sawa endeleeni kupambana.Tanzania ikipambana kumaliza umasikini ninyi mko busy kuongeza umasikini.
Acha kufananisha Tanga na mambo ya ajabu🤣🤣🤣Mombasa ni tanga iliyochangamka.
Naona huijui pwani, pwani ina viwanda zaidi ya 100 na most of them use Gas as energy sourceTatu City has more industries than entire Tanzania ukitowa Dar. As of now Tatu City has 95 industries and those industries sio za kimandazi mandazi Kama za uko Tanzania, some of the industries at Tatu are as follows
Air separation plant
Vehicle assembly plant
Alcohol Manufacturing Plant
Coffee Processing Plant
Ceramic manufacturing plant
Table top cooking
Hapo patakuwa Mbeya labda.😂😂
Muulize mbona wanaharakati wengi wa #Stop bomba la mafuta Uganda to Tanga Tanzania wengi wanatoka kunyaland.Kwa nini hatukusikia kelele kama hizo kutoka Rwanda, Burundi ama Zambia? kwani huko hakuna NGOs?
Kwa sababu wao hutumikia mabwana kutoka nje mifano ipo wazi tu. Huyu ni mbunge wa Kenya kwa traoreKwa nini hatukusikia kelele kama hizo kutoka Rwanda, Burundi ama Zambia? kwani huko hakuna NGOs?
Stick to pictures mjukuu🤣🤣🤣🤣., hauwelewi chochote., Magufuli city Dodoma iko vipi 2025?., niletee picha..,Kwahiyo hapa mwenyewe unajiona umejadili jambo la maaana ..🤣🤣🤣🤣 majitu mapumbavu bhana.
Yani unaitaja pwani kulinganisha na hako kamtaa na viwonder tatu.? Behave bro.Naona huijui pwani, pwani ina viwanda zaidi ya 100 na most of them use Gas as energy source
It can, your local media is controlled by the government. Nyinyi wenyewe ni waoga, hua munaiogopa serikali yenu.Kwahiyo serikali itazuia watu wasipige picha watu wenye jiggers. 😝😝😝😝😝
Evidence ya kuogopa serikali ni ipo kwa mfano?It can, your local media is controlled by the government. Nyinyi wenyewe ni waoga, hua munaiogopa serikali yenu.
Zipo ila hamna chuki nao na hamwafuatilii kama mnavyotufuatilia.Kwa nini hatukusikia kelele kama hizo kutoka Rwanda, Burundi ama Zambia? kwani huko hakuna NGOs?