Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizo ni za level 5 na niza kitambo, sijaweka under construction! Halafu unataka niweke picha ya vitu nyingi hivyo?
KNH ni level 3 mbona umeiweka sasa. Vipi unataka mwenzako wewe hujaweka? Acha kudanganya sawa?
 
Inaonekana huyu niyule anesimuliwa nayeye anasimulia. Ukweli utabaki pale pale pale kuwa Dar inaizidi Kenya
 
Njoo basi na ngonjera zingine hapa tunaenda na Facts. Hatutaki uongo.
 
Ukweli ni kwamba Dar bado itasubiri sana kwa Nairobi. Huo ndiyo ukweli. Mengine hapa ni ushabiki tu usio na maana. Dar tukaze buti sana kuifikia Nairobi
Have you been in Dar recently?
 
Hahaha..........Bado hii inaendelea??? Good evening guys....
 
Hahaha..........Bado hii inaendelea??? Good evening guys....
Mwenzako kakurupuka hapa. Katoka nduki. Sasa hivi amejificha alijaribu kutudanganya.
 
Kazini kwenyewe mbagala nyumbani mbagala mji ataujua je?
 
Wacha nianze
KNH


Nairobi west


Agha Khan





The Mater Hospital


Mama Lucy Hospital

KDF Hospital



Gertrudes


The Karen



Nairobi west
 
Sali International Hospital Dar es salaam
 
Umekubali kwamba hakuna level 5?
Hivi ndio maana huwa tanasema mnabore! Mkishachaapwa mnaanza vijimambo! Unataka sasa tuanze kupingana kama ni level five! I told you a simple thing! Orodhesha 20 bora za Dar! Orodhesha hapa sasa na uache vijimambo umeanza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…