Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,429
Lini mmetumia 4.5G? Acha uongo wewe nipe hiyo reference ya kwamba kenya wametumia 4.5G
Hhhhhh, huelewi 4.5 ndio 4G+??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lini mmetumia 4.5G? Acha uongo wewe nipe hiyo reference ya kwamba kenya wametumia 4.5G
Hivi unadhani Barabara hazipo Dar!!?
View attachment 481358 View attachment 481359 View attachment 481360
Hivi unadhani Barabara hazipo Dar!!?
View attachment 481358 View attachment 481359 View attachment 481360
Mnalipa mishahara ya ajabu ajabu kwa sababu maisha yenu ni expensive. Pia hakuna uzalendo kwenye nchi yenu. Hilo ni jambo la kukemea kabisa nchini kwenu. Kuna watu wanalala njaa huko TUrkana halafu wewe unajisifia mishahara!!!?Ichoboy01, Kenya na Tanzania are worlds apart, check for example salaries for Doctors in East Africa, and still they strike
![]()
Mnalipa mishahara ya ajabu ajabu kwa sababu maisha yenu ni expensive. Pia hakuna uzalendo kwenye nchi yenu. Hilo ni jambo la kukemea kabisa nchini kwenu. Kuna watu wanalala njaa huko TUrkana halafu wewe unajisifia mishahara!!!?
Shame on you Kenyans
I like you edward...your arguments are mature and based on fact ..hawa wengine tz watoto wa highschool ambao walipata jf mwaka huu
Unarudi tulikotoka. Nimesema kwamba leta vitu ambavyo vipo huko Nai hala Dar havipo.
Check hapa Sky view ya Dar
View attachment 481368 View attachment 481369 View attachment 481370
Lini mmetumia 4.5G? Acha uongo wewe nipe hiyo reference ya kwamba kenya wametumia 4.5G
Mimi silii ila unatapatapa sanaa kaa utulie cha uonga hehehhee nyako maberMbona unalialia?? toa hoja tujue akili yako timamu, hata wazimu huuita mtu aliyesawa kuwa wazimu!!! Ukikosa hoja acha kulialia
Enh enh anasemaje huyu hehhhehrhrr 1590 km sq dar Nairobi 696 km sq narudia Mara ya hamsini jamaa haelewi namaanisha nnZile estate nimeweka pale na ukubwa wake, huwezi pata Dar
Hakuna matus hapa tatizo kwenye nairaland hua hamueki kibera mathare na zinginezo ndio maana hapa tunaweka tu uijua nairobi iko vpunajua watu ndio huharibu social media platforms, mfano Facebook na Twitter, watu wameharibu facebook ikawa ya kitoto, huku twitter inaonekana kama official platform.
Hebu linganisha Jamii Forum, Nairaland, na Skyscraper City, Jamii Forum imeharibiwa na wabongo, imekuwa ni jukwaa la matusi, watu wakikosa hoja, wanaingia bezo, Nairaland kidogo iko sober ila bado kiasi, Skyscraper ipo official, watu na hadhi zao, hivi twaweza rekebisha jamii forum pia ichukue mwendo huohuo
Hawez kuleta kwa sababu hana ndio maana anaingia huku anatoka huku hahahhahaUnarudi tulikotoka. Nimesema kwamba leta vitu ambavyo vipo huko Nai hala Dar havipo.
Check hapa Sky view ya Dar
View attachment 481368 View attachment 481369 View attachment 481370
Enh enh anasemaje huyu hehhhehrhrr 1590 km sq dar Nairobi 696 km sq narudia Mara ya hamsini jamaa haelewi namaanisha nn