Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ichoboy01, Kenya na Tanzania are worlds apart, check for example salaries for Doctors in East Africa, and still they strike
C69kOS_WwAAcWXu.jpg
Mnalipa mishahara ya ajabu ajabu kwa sababu maisha yenu ni expensive. Pia hakuna uzalendo kwenye nchi yenu. Hilo ni jambo la kukemea kabisa nchini kwenu. Kuna watu wanalala njaa huko TUrkana halafu wewe unajisifia mishahara!!!?
Shame on you Kenyans
 
Mara hii ntakubaliana nawe, Wakenya ubinafsi umewazidi, mtu ataka kila kitu asijali mtu mwingine aliye karibu, taabu hii, Pesa kama hizi unapiga mgomo ukitaka nini????? Kenyans daah
 
Thousands of Housing estates in Nairobi are World class
MG_3016_72.jpg

Well connected by world class roads
924763_450222805134496_845116666_n.jpg

16895105712_464500101e_b.jpg

16895099452_61809c7cb9_b.jpg
 
I like you edward...your arguments are mature and based on fact ..hawa wengine tz watoto wa highschool ambao walipata jf mwaka huu
 
unajua watu ndio huharibu social media platforms, mfano Facebook na Twitter, watu wameharibu facebook ikawa ya kitoto, huku twitter inaonekana kama official platform.

Hebu linganisha Jamii Forum, Nairaland, na Skyscraper City, Jamii Forum imeharibiwa na wabongo, imekuwa ni jukwaa la matusi, watu wakikosa hoja, wanaingia bezo, Nairaland kidogo iko sober ila bado kiasi, Skyscraper ipo official, watu na hadhi zao, hivi twaweza rekebisha jamii forum pia ichukue mwendo huohuo
 
Nairobi has the largest Industrial zone in east and Central Africa
7352524988_d01aebc18b_b.jpg

As far as your eyes can see, all those are industries
 
unajua watu ndio huharibu social media platforms, mfano Facebook na Twitter, watu wameharibu facebook ikawa ya kitoto, huku twitter inaonekana kama official platform.

Hebu linganisha Jamii Forum, Nairaland, na Skyscraper City, Jamii Forum imeharibiwa na wabongo, imekuwa ni jukwaa la matusi, watu wakikosa hoja, wanaingia bezo, Nairaland kidogo iko sober ila bado kiasi, Skyscraper ipo official, watu na hadhi zao, hivi twaweza rekebisha jamii forum pia ichukue mwendo huohuo
Hakuna matus hapa tatizo kwenye nairaland hua hamueki kibera mathare na zinginezo ndio maana hapa tunaweka tu uijua nairobi iko vp
 
Back
Top Bottom