BATTLE!..Humble African Vs CCNP Engineer.

BATTLE!..Humble African Vs CCNP Engineer.

aaaaa tatizo uko team ya kichovu pambana na njaa yako mimi huko nlienda mpaka mpesa kuulizia labda mtandao umesumbua injinia katuma imebaki hewani ila hola nimehama team rasmi tokea jana na mema nimeshakula jana na leo naendelea kuyafaaidi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] amu ulivobadirika fasta hata sijaamini!! kumbe muamala haukuthibitishwa tangia siku ile [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mno.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] amu ulivobadirika fasta hata sijaamini!! kumbe muamala haukuthibitishwa tangia siku ile [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mno.
Pesa tamu,Yuda mwenyewe alimsaliti Yesu mimi mazoea na watu wachovuwachovu sitaki kabisa
 
ameenda CRDB , bahati mbaya amekuta wanavikao vya bodi , maana injinia hua anahudumiwa na kimei mwenyewe mateller waliosoma HKL hawawezi kumhudumia hivo nasubiri tu.
Ahahahahahah ukifanikiwa nitag nije nishuhudie
 
Bwana ringishianeni hela sio matokeo ya shule. Kuna watu hawajagusa darasa wanayo hela hatari. Na wengine wamesoma madarasa kama yote mpaka sasa wanahustle. Kura yangu iko kwa alieonyesha mihela
Ndugu yetu hela tunampenda sana
 
injinia bado anafatilia salio daaaah 😂😂😂😂
hakuna kitu kinachouma kama kuwa na cheti kina AAA na cheti cha pongezi kwa kuwa TOP 3 alafu salio halisomi 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom