BATTLE!..Humble African Vs CCNP Engineer.

BATTLE!..Humble African Vs CCNP Engineer.

Ila mmemuattack sana CCNP Engineer. huyu jamaa anajua kuvimba, hes an engineer anatakiwa vimbaa bana kusomea Engineering si mchezo acha atudharau vilaza sie!.
Najua tungekua na akili tungeshindana nae darasani n' namwambia keep up man!.. Angekua NN kajitapa hivi wote kimya, lile jamaa linajua kutisha!! 🙂..
hahaaa " NN. huwa akijitapa _ watu wote " Mkia kimyaa"daaahh ila JF nyoko" watu wamenipotezea" yule ndugu yangu mwenye jina la dawa aisee
 
hahaaa " NN. huwa akijitapa _ watu wote " Mkia kimyaa"daaahh ila JF nyoko" watu wamenipotezea" yule ndugu yangu mwenye jina la dawa aisee
Naona Kama umeandika kisegere nyuma mkuu? Sijaelewa
 
hahaa hizo codes mkuu" niliyemquote ameshaelewa
Basi Dimbwela inu kurushindi kunogela bila jasho hizo ni codes za kupandia ungo za mshana Jr. Ah ah ah ah ah ah ah ah ah
 
628 days without sex

Nimeenda saloon nimenyoa kipara ili mradi nimwambie kinyozi apake mafuta na asugue kichwa
 
Hawa walianzia battle yao kwenye magroup yao ya Forex huko TMT wakabiringishana hadi humu JF na promota akaona wanachafua nyuzi za wengine kwa kupeana masingi ndio akaandaa hili pambano akiwa na Msami production, Clouds Media, Mariedo classic e.t.c . Hadi mmoja alipopigwa pigo takatifu juzi akakimbia hadi leo hajaonekana. Ah ah ah ah ah ah ah inachekesha.
Anhaaa kumbe aisee
 
hahaaa " NN. huwa akijitapa _ watu wote " Mkia kimyaa"daaahh ila JF nyoko" watu wamenipotezea" yule ndugu yangu mwenye jina la dawa aisee
Nani huyo!?..
 
Umekuwa uyoga ndugu life span ni days tu,haha kwa juzi tu ulikuwa jose the first
 
Back
Top Bottom