Battle: Kati ya Mbeya, Dodoma, Arusha, Tanga na Iringa

Battle: Kati ya Mbeya, Dodoma, Arusha, Tanga na Iringa

Ukitoa Dar,jiji la Arusha ndio inafata.
Kipindi cha Mwendazake aliipotezea sana Arusha,pamoja na covid uchumi wa Arusha ulizorota.
Mama anaufungua mji urudi kwenye hadhi yake.
Kwa factors zip
 
Habari za mchana huu wapendwa, hope mko wazima na wenye afya tele., wagonjwa na wafiwa poleni sana, Mungu awape wepesi!!

Mada husika👇🏾

Wengi wetu tunatambua majiji makubwa in Tanzania ni mawili tu (Only two cities) 👉🏽 (Dar es salaam and Mwanza)


Swali!👇🏾
Kati ya Miji hii ifuatayo, ni mji upi unafuata baada ya (Mwanza and Dar)??

1.Mbeya
2.Dodoma
3.Arusha
4.Tanga
5.ringa


Nikisema mji upi maana yake ni (Kila kitu kilichomo katika mji husika) kwanzia ukubwa wa mji, kibiashara n.k!

Hapo kwa Iringa japo haijapewa hadhi ya kuitwa jiji, but nimeonelea naye nimpachike hapo kutokana na mji ulivyo, na hata mnaoishi mkoa huo, na mliowahi kufika huko mnajua na mtatuambia katika huu mjadala namna mji ulivyoendelea.

(1.Dar es salaam 2.Mwanza) These are another level, acha tuwaweke pending.

Matusi, dharau, kejeli n.k Hapana, anae ona mada hii inamkwaza apishe wengine.

Karibuni sana!

Kitombile
Mapank n.k
Covax
Ukubwa wa mji kwako ni nini? Eneo la ardhi au eneo la ardhi lilolojengwa? Maana tabora ni kubwa kuliko dar
 
Huwa najua baada ya mwanza ni Arusha kwa kipindi kile sijui kwa Sasa ambapo Dodoma imejengeka na serikali kuhamia uko maybe ndo inayofata baada ya mwanza
Umewahi kwenda Dom!? Arusha je?..dodoma kuifikia Arusha ni next 20yrs
 
Aliemuelewa mtoa mada tafadhali
IMG_20221012_135136.jpg
 
Upo sahihi sasa kama wanauza supu 500Tsh na hauimalizi why kusiwe kuzuri
ANGALIZO:mtoa uzi anataka faraja najua mnawajua watu wa Iringa sasa nyie mpingeni akajitundike
 
Back
Top Bottom