Battle: Kwa mara nyingine tena wale mahasimu wawili wa Bongofleva nchini wamekutana AFRIMMA Awards

Acha utani KIJANA...diamond mwaka 2010 alishinda tuzo gani ya MTV's???

Mo cheddah n jina la msanii kutoka Nigeria najua haumjui pole sn kwa kuanza kufatilia mziki juzi yeye ndo alichukua tuzo ya best new act walikuwa category moja n diamond, muthoni wa Kenya n Jojo wa Gabon.
 
Ah! Acha masihara bhana... hivi assume Kiba anachukua Best Male Artist from East Africa na Khadija Kopa anachukua Best Female Artist from East Africa... tofauti yao ni nini hapo kama si tu gender issue? Kwanini uone Kiba hapo ndo yupo juu na sio Khadija Kopa wakati wote category yao ni East Africa? Unachotaka kusema ni kwamba Male Artists are always better than female artists, or? Kwenye baadhi ya maeneo YES but kwenye music, NO! Kwenye marathon kwa mfano, mshindi wa kiume mara nyingi atakuwa bora kuliko mshindi wa kike hata kama wote wapo let's say 10 km na hili utaliona kwenye muda wanaotumia!

Tukija kwa Ommy Dimple... brada; kuwa upcoming maana yake si kwamba huyo mtu hajui, nope! Lakini, crown ya African Upcoming Artist ni more competitive kuliko crown ya Best East African Artist! Huyu upcoming, anashindana na upcoming artist from all over of AFrica na huku kuwa upcoming wala hakuwafanyi kuwa sio bora! Mchukulie huyo huyo Kiba na Cinderella yake mwaka 2006... ni msanii mkongwe gani angeweza kutia mguu kwenye Cinderella wakati ule? And am telling you, endapo hawa upcoming wangekuwa wanashindanishwa na wakongwe, wala isingeshangaza kuona wakongwe wanadondokea pua!

REMEMBER! Point si kwamba Ommy Dimpo ni bora kuliko Kiba bali category ya African Upcoming Artist ni bora kuliko East African category!

Mwisho... do you like football? Let me assume YES na let me assume unaipenda sana nchi yako! Now tell me, ukiambiwa chagua kati ya Tanzania kushinda Challenge Cup (Kombe la East Africa) na kushinda CAF U-23 Championship (Africa Under 23); je ungechagua kombe gani hapo?
 
Wana Ndondo Cup aka Mechi za Mchangani, aka Majirani wa Mzee Mcharo wameishiwa hoja badala yake kila leo viroja!!! Sasa oh, Diamond anabebwa na collabo!!! Nyie watu acheni ushamba wa kuongea msivyovijua!! Unakuta category inasema Best Collabo... sasa mliona wapi Collabo mtu anaimba peke yake? Nyie watu wa wapi nyinyi? Leo hii drip inawaingia mwilini mnaponda collabo, ufahamu ukiwarejea mnaenda kwenye page ya Kiba kulilia collabo.... bwah bwah bwah bwah bwah bwah!!!!!

Song of the Year ni Nitampata Wapi.... hilo pini amemshirikisha nani? Do I need to remind you kwamba hilo pini si kwa category ya East Africa bali Afrika mzima?? Ikiwa Nana sio Song of the Year isipokuwa Ntampata Wapi ndo song of the Year... hapo hapo mtu anakuwa nominated kwenye category ya Artist of the Year... kwanini mdhani Nana ambayo haipo kwenye category ya Song of the Year ndiyo imempa nomination ya Artist of the year badala ya Ntampata Wapi ambayo ndiyo ipo kwenye category ya song of the year?

Kwahiyo hata tukiitoa Nana bado Mswahili mswahili, aka Mtoto wa Tandale, aka Ushamba Mzigo, aka tatizo shule, aka Masikini Akipata, aka Ongezeni majina yoooooooooote, bado jamaa anakuwa kwenye category ya Best East Africa Artist aka Ndondo Cup Flan, pia atakuwa kwenye category ya song of the year aka super internationale, na atakuwa pia kwenye category ya Artist of The Year as compared na Mzee wa Ndondo Cup, aka mtoto wa kishua, aka mtoto aliyeenda shule, aka mtoto wa ushuani (Kariakoo?) aliye kwenye category moja TU ambayo ni ya Kindondondo vile vile!!!

Tukija kwenye Nana... kwanza ipo category ya Best Dance in Video... hivi hapa napo mnahitaji kwenda shule kuona ni kazi ya nani imeifanya ile video kuwa nominated kwenye hiyo category?

Tulieni sindano ziwaingie ili next time muache ulimbukeni wenu!! Nashanganaa kelele na mbwembwe za kwamba tunampigia Davido kimyaaaaaaaa matokeo yake anakuja kuwapa za uso mchana kweupe, huyu hapa swahiba wenu
Twende tena:
Sasa ikiwa kweli collabo ina impact ya kupiku Youtube views hata kwa non-collabo video iliyokuwa uploaded miezi 6 kabla, then mtu ataacha kufanya collabo IF AND ONLY IF, Either hana ubavu wa kupata collabo zilizoenda shule OR Muhusika hajitambui!!! Mtu ninayemshabikia nisingependa awe kwenye kundi lolote kati ya hilo ingawaje siwezi kumlaumu kutokuwa na UBAVU!!!
 
Last edited by a moderator:

Facts facts
 

Huwa inauma sana mtu anapojibu post kama hii iliyosheheni FACTS, afu yeye anakuandikia "K 4 REAL" au " #TIME WILL TELL" au "MBONA UNAANDIKA GAZETI".
 
Last edited by a moderator:
Huwa inauma sana mtu anapojibu post kama hii iliyosheheni FACTS, afu yeye anakuandikia "K 4 REAL" au " #TIME WILL TELL" au "MBONA UNAANDIKA GAZETI".

NO!!!

Mkuu haijalishi mtu anajibu vipi, cha muhimu umetoa somo la kutosha..

Mimi nimejiunga JF 2012 lakini nilikuwa mzuri sana wa kufuatilia facts humu ndani, siasani, vichekeaho n.k BUT comment yangu ya kwanza ilikuwa mwaka Jana mwishoni..

So ni poa tu watu wengi tunafuatilia hata mtu ajibu pumba, somo limeelewewa
 

Umetisha sana mkuu..

Suala la kubebwa kwenye colable ni propaganda yao ya kutuliza maumivu tu, ukweli wanao..

Ukianzia dogo kuwa nominated BEST NEW ACT 201 kwa mbagala 2010 MTVMAMA akiwa na mwaka tu kwenye game

Last year kwa my number one original akapata nomination 4 channel o na kuibuka na tuzo tatu zote hizo ni za pekeyake..

Mdogomdogo last year ikachukuwa IRAWAMA kama best African traditional song ikiikalisha aye ya davido

Mwaka huu ndio kabisa Nitampata wapi mpaka sasa AEA, na hii AFRIMMA imekuwa nominated best african song

LAZIMA WANYOOKE!!!
Kama Mwaka jana
BRAZIL 1 vs GERMAN 7
wanabaki kulialia
 
Last edited by a moderator:
There are never been perfect humans,sema AFRIMMA wako more advanced lakini kwahili la Kiba,weakness ya ubinadam imeonekana..?!
 
Wakuu kama Msanii bora wa Africa kwa miaka 2 mfululizo na mshindi wa BET mwaka 2014, Davido (OBO) kausoma upepo mapema kuwa No way out ni lazima kupiga collabo na King Kiba.

Ni wazi kwamba mr.Collabo na mfalme wa mbeleko Diamond ni lazima naye afanye kama alivyofanya baba yake Davido kwa kupiga collabo na KingKiba.
 
Yani nimepiga kura kwa usiku huu kama 300 hiv mpaka wameniblock sasa ngoja nibadilishe browser niendeleeKingforever
Mtaji wa maskini ni kura zakee mwenyewe but watu wa media kama sisi tunatambua uwepo wa majaji ktk kumpata mshindi was tuzo fulani ,so badilika kijana Kuwa mordenised hizo nguvu za kuvote ni bora ukalime..teamWinnerstunavote kwa kurelax..?!
 
Star kama Davido kufanya collabo na underground from TZ,tc good to hear coz anawito wa kusaidia waafrica wenzake..?!
 
Really?.. you must b jockin,tuungane buana ili tufanye kweli.

Uungsne na nani wakati wa MTV voting mlijifanya mnajua sanaaaaa!!! Mkaendesha kampeni ya kijingajinga " kampeni davido ..UA mondi" .

Tuliwapa somo LA uzalendo lakini hamkusikia wala kuelewa mkaendeleza fitna zenu na MUNGU akawaumbua .Sasa tunayo tuzo.

Kwakua nyinyi ni mlioshindikana Sasa hivi kila mtu atabeba msalaba wake.hahahahahah

Mtanyooka tu.
 

Haya maneno ni ukweli mtupu na yamewachoma.

Watapanic soon.

#Mtanyookatu .
 

Basi tuseme wanakubali kiaina.
 

Hahahaaa uzalendo october kwenye uchaguzi mkuu! Tuliwaambia jamani ipo siku king atakuwa nominated.
 
Hahahaaa hivi mna nini lakini? Nisameheni mwenzenu, mnanivunjia mbavu lol!

Hahah mai dia bintikiziwi ai lavyuu ha bati ze weyi shi hetsi daimondiplatinamzi izi tuu machi kwa kweli.

Praktizingi wichikrafti oni sambadi iffotsi donti eksipecti pipo tu lavyuu yuu.

Dhe besti weyi shi sappozidi tu du izi tu steyi kalmu oni mondizi ishuzi endi duingi laiki shi donti noo himu.

#watanyookatu .
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…