Wana Ndondo Cup aka Mechi za Mchangani, aka Majirani wa Mzee Mcharo wameishiwa hoja badala yake kila leo viroja!!! Sasa oh, Diamond anabebwa na collabo!!! Nyie watu acheni ushamba wa kuongea msivyovijua!! Unakuta category inasema Best Collabo... sasa mliona wapi Collabo mtu anaimba peke yake? Nyie watu wa wapi nyinyi? Leo hii drip inawaingia mwilini mnaponda collabo, ufahamu ukiwarejea mnaenda kwenye page ya Kiba kulilia collabo.... bwah bwah bwah bwah bwah bwah!!!!!
Song of the Year ni Nitampata Wapi.... hilo pini amemshirikisha nani? Do I need to remind you kwamba hilo pini si kwa category ya East Africa bali Afrika mzima?? Ikiwa Nana sio Song of the Year isipokuwa Ntampata Wapi ndo song of the Year... hapo hapo mtu anakuwa nominated kwenye category ya Artist of the Year... kwanini mdhani Nana ambayo haipo kwenye category ya Song of the Year ndiyo imempa nomination ya Artist of the year badala ya Ntampata Wapi ambayo ndiyo ipo kwenye category ya song of the year?
Kwahiyo hata tukiitoa Nana bado Mswahili mswahili, aka Mtoto wa Tandale, aka Ushamba Mzigo, aka tatizo shule, aka Masikini Akipata, aka Ongezeni majina yoooooooooote, bado jamaa anakuwa kwenye category ya Best East Africa Artist aka Ndondo Cup Flan, pia atakuwa kwenye category ya song of the year aka super internationale, na atakuwa pia kwenye category ya Artist of The Year as compared na Mzee wa Ndondo Cup, aka mtoto wa kishua, aka mtoto aliyeenda shule, aka mtoto wa ushuani (Kariakoo?) aliye kwenye category moja TU ambayo ni ya Kindondondo vile vile!!!
Tukija kwenye Nana... kwanza ipo category ya Best Dance in Video... hivi hapa napo mnahitaji kwenda shule kuona ni kazi ya nani imeifanya ile video kuwa nominated kwenye hiyo category?
Tulieni sindano ziwaingie ili next time muache ulimbukeni wenu!! Nashanganaa kelele na mbwembwe za kwamba tunampigia Davido kimyaaaaaaaa matokeo yake anakuja kuwapa za uso mchana kweupe, huyu hapa swahiba wenu
Twende tena:
View attachment 270080 View attachment 270081 View attachment 270082
Sasa ikiwa kweli collabo ina impact ya kupiku Youtube views hata kwa non-collabo video iliyokuwa uploaded miezi 6 kabla, then mtu ataacha kufanya collabo IF AND ONLY IF, Either hana ubavu wa kupata collabo zilizoenda shule OR Muhusika hajitambui!!! Mtu ninayemshabikia nisingependa awe kwenye kundi lolote kati ya hilo ingawaje siwezi kumlaumu kutokuwa na UBAVU!!!