Battle: Kwa mara nyingine tena wale mahasimu wawili wa Bongofleva nchini wamekutana AFRIMMA Awards

Hivi hawa AFRIMMA wametumia vigezo gani labda. Hivi huyu bwana mdogo (Ommy Dimpoz) ni New comer kweli!???
Huyu si wa kitambo tangu enzi za Nai Nai!?
Labda wenzangu mnalionaje hili!?
Karibuni.

mkuu ingekuwa ni East africa sawa.. lakini category yake ni afrika nzima huko ni mpya...

ULIJIULIZA KWANINI BEKA TITLE MWAKA HUU KTMA ALIKUWA NOMINATED KAMA MSANII ANAECHIPUKIA????? HAHAHAHAH

am soooo wandaaaz
 
Ipo hivii watu wanashindwa kuelewa

MSHINDI WA HIO TUZO NI DIAMOND kabla ya chochote kile

Kura hata tuunganike mashabiki wote wa chibu tumpe kiba hawezi kupewa ni matusi kwa waandaaji hawezi kmshinda mtu mwenye
....best video
....best africa(inamaana 10 walioçhaguliwa ambao hawapo ni zero huwezi waweka na hawa)
....best song
....best collable

bila kusahau
...best inspirational song
...best dance video

NI UTUMBO KUJIONA WANAWEZA KUPEWA HIYO TUZO SIO MAEMBE HAYO
 
Ni kweli lakini mjue Naseeb tayari ana fans wengine wengi outside tanzania kwa sababu ameshatengeneza jina so ni kukubali tu na kuhamasishana katika haya mawili
1. Watu wampigie kura aly tena kwa bidii ya ajabu ili tuzo ije home

Au

2. Watu wampigie kura Naseeb na aly ili tukose

Ingawa pia kwa advantage Naseeb aliyonayo tukiwapigia wote plus fans wa nje anaweza kupata.
Lakini pia katika hizo category 7 alizoingia hawezi rudi mikono mitupu hilo ni tumaini tulilonalo la uhakika
 
duhhhhh these teams ngachoka.... instead of being proud kwamba angalau mmeingiza zaidi ya mtu mmoja wa tuzo mnaanza kugawanyika..... busara ingekua zaidi pale tuzo nyingi zaidi zingerudi nyumbani kama sio zote.
 
Ipo hivii watu wanashindwa kuelewa

MSHINDI WA HIO TUZO NI DIAMOND kabla ya chochote kile

Kura hata tuunganike mashabiki wote wa chibu tumpe kiba hawezi kupewa ni matusi kwa waandaaji hawezi kmshinda mtu mwenye
....best video
....best africa(inamaana 10 walioçhaguliwa ambao hawapo ni zero huwezi waweka na hawa)
....best song
....best collable

bila kusahau
...best inspirational song
...best dance video

NI UTUMBO KUJIONA WANAWEZA KUPEWA HIYO TUZO SIO MAEMBE HAYO

Afu hata hivyo wanachukuliwa kama RUMBESA kujazia nominatin list coz wanaume wawili tu diamond na eddy kenzo wengine hakuna kitu.. mwaka jana walimpa peter msechu.. hata ivyo east africa wakali wachache kiasi kwamba isingekuwepo category hiyo wsngekuwa wanazipomda tuzo oooooh za TV haya sasa Tukisha zibeba tuzo zetu 4 utasikia oooh za magazeti hahahs
 
Kiba oyeeeee BEST MALE halina ubishiii.
Hahahaaaa walijivuna sana ooohh saizi ya kiba ni kill hahahaaaa hatareeeee lazma mlale mkiwa mmesimama....
Nyimbo mbili tuu zimewatoa jasho ivyo vipi akiweka na ya tatuu?
K 4 real
 
Vipi hajapewa kwenye best male? Hahahaaaaaa
 
Na wengine wanasema KTMA ni tuzo za walevi zinazoandaliwa na pombe.
Hii yote inatokana na uelewa mdogo na shule dhaifu. Tuzo lazima ziandaliwe na kundi fulani kama waandishi, vituo vya TV n.k. kitu cha muhimu ni mantiki ya hiyo tuzo.
 
hahahahaha... Eti after cooling. Wape wape, wanyookee.

Wapi cute b "! Kama namuona vile.

Nipo hapa system inasumbua lol.
Msimu huu nitakuwa mzalendo...
Nitavote for kiba and domo and baba wanjee and vannesa.(wanafiki wanafinyanaaa hahahaaa hatareeee)
 
Last edited by a moderator:

Kama umeona mtv basi hapa huta tumia nguvu sanaaa kuumiza kichwa ni nani anachukuwa..mtu anawezaje kuchaguliwa mara sita afu ashindwe kuitetea tuzo ambayo anamiliki nyumbani kwake so hiyo mwenyew anajulikan
 
in the presence of davido n wizkid domo has no chance to win labda wajiuzulu hahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…