Cha asubuhi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 1,549
- 2,279
We jamaa ni fala badala uniombe kazi unaleta upuuzi,kula pini[emoji3]Vyovyote vile hakuna mtu mwenye kazi na akili timamu atafanya huo ujinga wa kuzunguka mjini na smartphone kutafuta magorofa ili aleta JF [emoji1787][emoji1787]
Vyovyote vile hakuna mtu mwenye kazi na akili timamu atafanya huo ujinga wa kuzunguka mjini na smartphone kutafuta magorofa ili aleta JF π€£π€£We jamaa ni fala badala uniombe kazi unaleta upuuzi,kula pini[emoji3]View attachment 2524440
Usimwite mkuu huyu ni lofa naona hujakadiri IQ yake ukajua namna anajifyatua[emoji3] mkuu kuna watu wanatengeneza hela sio kwa kutumia nguvu nyingi au muda mwingi
Vyovyote vile hakuna mtu mwenye kazi na akili timamu atafanya huo ujinga wa kuzunguka mjini na smartphone kutafuta magorofa ili aleta JF π€£π€£Punguza ujinga.com[emoji3]View attachment 2524441
Vyovyote vile hakuna mtu mwenye kazi na akili timamu atafanya huo ujinga wa kuzunguka mjini na smartphone kutafuta magorofa ili aleta JF [emoji1787][emoji1787]
Vyovyote vile hakuna mtu mwenye kazi na akili timamu atafanya huo ujinga wa kuzunguka mjini na smartphone kutafuta magorofa ili aleta JF π€£π€£Wivu tu
Akili imeganda, comment Ile ile tangu mchana. Bangi nibangueVyovyote vile hakuna mtu mwenye kazi na akili timamu atafanya huo ujinga wa kuzunguka mjini na smartphone kutafuta magorofa ili aleta JF π€£π€£
Vyovyote vile hakuna mtu mwenye kazi na akili timamu atafanya huo ujinga wa kuzunguka mjini na smartphone kutafuta magorofa ili aleta JF π€£π€£Akili imeganda, comment Ile ile tangu mchana. Bangi nibangue
We jamaa ni fala badala uniombe kazi unaleta upuuzi,kula pini[emoji3]View attachment 2524440
ππVyovyote vile hakuna mtu mwenye kazi na akili timamu atafanya huo ujinga wa kuzunguka mjini na smartphone kutafuta magorofa ili aleta JF π€£π€£
View attachment 2524443
Huyo fala kaset outo reply [emoji3][emoji3]Akili imeganda, comment Ile ile tangu mchana. Bangi nibangue
Sijui maana yake? unabisha sasa, Mwanza tunazo kila mtaa na kila mahali, magari kupark juu na chini unaona ajabu sana, karibu Mwanza tukutoe tongotongo.Hujui maana yake ndio maana umekurupuka
Labda ni takwa la mteja,π€£π€£π€£Ila madesigner wetu ban huko juu kulikua na haja gani ya kuweka roof ya bati
Hao ni wabunge wa sangoma akikiuka masharti tu kwa heriDah.. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ila sio fresh kupima hadhi ya maisha ya mtu kwa kuangalia simu anayotumia. Mimi kuna jamaa yangu mzee wake ni mbunge, lakini nilimwona faza ake anatumia Infinix Smart 6, duh nilishangaa sana kuona mbunge anatumia Infinix ya bei rahisi kama hiyo wakati watoto wake amewatandika macho matatu wote, na nyumba yao ni unyama tena ghorofa kali tu Kijichi.
Kuna wengine simu zao ni za kimasikini ila wenyewe sio masikini. Wanasema "They don't give shit about the goddamn phones" [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Vyovyote vile hakuna mtu mwenye kazi na akili timamu atafanya huo ujinga wa kuingilia battle asizoziweza hapa JF na kuset auto-reply ili kuirudia pumba ileile aliyoandika tangu mchana. Zima data ukalale[emoji1784][emoji1784]Vyovyote vile hakuna mtu mwenye kazi na akili timamu atafanya huo ujinga wa kuzunguka mjini na smartphone kutafuta magorofa ili aleta JF [emoji1787][emoji1787]
Mji ukiwa mdogo ndio hivyo, kila kitu kiko mjini.Ye anajua kila kitu kipo mjin tukikwamwambia Mwanza ni kubwa anajifanya hasikii πππ