Dah.. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ila sio fresh kupima hadhi ya maisha ya mtu kwa kuangalia simu anayotumia. Mimi kuna jamaa yangu mzee wake ni mbunge, lakini nilimwona faza ake anatumia Infinix Smart 6, duh nilishangaa sana kuona mbunge anatumia Infinix ya bei rahisi kama hiyo wakati watoto wake amewatandika macho matatu wote, na nyumba yao ni unyama tena ghorofa kali tu Kijichi.
Kuna wengine simu zao ni za kimasikini ila wenyewe sio masikini. Wanasema "They don't give shit about the goddamn phones" [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]