Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Vyovyote vile hakuna mtu mwenye kazi na akili timamu atafanya huo ujinga wa kuzunguka mjini na smartphone kutafuta magorofa ili aleta JF [emoji1787][emoji1787]
We jamaa ni fala badala uniombe kazi unaleta upuuzi,kula pini[emoji3]
Screenshot_20230220-223844.jpg
 
Vyovyote vile hakuna mtu mwenye kazi na akili timamu atafanya huo ujinga wa kuzunguka mjini na smartphone kutafuta magorofa ili aleta JF 🤣🤣
Akili imeganda, comment Ile ile tangu mchana. Bangi nibangue
 
😂😂Vyovyote vile hakuna mtu mwenye kazi na akili timamu atafanya huo ujinga wa kuzunguka mjini na smartphone kutafuta magorofa ili aleta JF 🤣🤣
Screenshot_20230220-224803.png
 
Akili imeganda, comment Ile ile tangu mchana. Bangi nibangue
Vyovyote vile hakuna mtu mwenye kazi na akili timamu atafanya huo ujinga wa kuzunguka mjini na smartphone kutafuta magorofa ili aleta JF 🤣🤣
 
Game over wazee wa rocky city tumemaliza kazi naona Kuna mmoja ana dalili za mtindio wa ubongo, tangu mchana anakomenti kitu kile kile
 
Bongo unasoma IT sijui computer science [emoji3][emoji3] utaishia kufanya vibarua tu
 
Dah.. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ila sio fresh kupima hadhi ya maisha ya mtu kwa kuangalia simu anayotumia. Mimi kuna jamaa yangu mzee wake ni mbunge, lakini nilimwona faza ake anatumia Infinix Smart 6, duh nilishangaa sana kuona mbunge anatumia Infinix ya bei rahisi kama hiyo wakati watoto wake amewatandika macho matatu wote, na nyumba yao ni unyama tena ghorofa kali tu Kijichi.
Kuna wengine simu zao ni za kimasikini ila wenyewe sio masikini. Wanasema "They don't give shit about the goddamn phones" [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hao ni wabunge wa sangoma akikiuka masharti tu kwa heri
 
Vyovyote vile hakuna mtu mwenye kazi na akili timamu atafanya huo ujinga wa kuzunguka mjini na smartphone kutafuta magorofa ili aleta JF [emoji1787][emoji1787]
Vyovyote vile hakuna mtu mwenye kazi na akili timamu atafanya huo ujinga wa kuingilia battle asizoziweza hapa JF na kuset auto-reply ili kuirudia pumba ileile aliyoandika tangu mchana. Zima data ukalale[emoji1784][emoji1784]
 
Back
Top Bottom