Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle ni mwanza vs arusha
Mnapoleta gdp hapa hua mnaleta gdp za mwanza sio city Council, tatizo mkoshaona overall mnalemewa mnaaza kulia maayo

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Sasa hapa nani kaelemewa? Chukua hata za Moshi ziweke Arusha ukimaliza tunakusubiri kwenye uzuri wa jiji la Mwanza vs Arusha [emoji3][emoji3]
 
Unajidanganya, itajengwa dualcarriage way from Tengeru all the way hadi Holili...ni dualcarriage way ndefu itakayounganisha Arusha na Kilimanjaro hadi mpakani Rombo...
Bila kusahau barabara za miji, kuna barabara ya kuunganisha wilaya ya siha na rombo nayo inakuja...
Kwa kifupi serikali hua haikosei kujenga sshemu ambazo wanaokota kodi hua wanajua wanachofanya

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Huu ndo ulimbukeni sasa, ongelea vitu vyenye ushawishi. Kwamba Mwanza Haina watoto wa Arusha wasitaka kurudi kwao?. Kila baa utawakuta halafu bishana kwa akili hatuendi hivyo
Mtu aondoke Geneva of Africa halafu aende shamba city halafu asirudi hahaha😂🤣🤣
 
Hakuna mahali kama A Town shamba city munapaniki nini na hapo bado hatujatuma mapicha za mamiradi za mabilion yanayoendelea.
 
Wao wanashindana na sisi wakati sisi tunashindana kimataifa. Hahaha sisi hatunaga mbambamba,wakituma picha wanatuma picha za samaki 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…