Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Mimi nipo Arusha, hakuna ambacho sijui. Njoo Sinoni uone hayo maisha. Kima wewe
Kama ni slam ziko kila mahali hata kibera kenya ndio maana takwimu zinaonesha mwanza ni masikini na top ten ipo. Wewe ni mmojawapo wa wasukuma waliogoma kurudi kwao kwa sababu ya uzuri wa Chugga.
 
Hyo mipango sio kitu Cha kushangaza ..Kwa sababu hata mwanza itajengwa dual carriage ya kutoka Usagara Hadi geita km 50,,,na kutoka town Hadi njia panda ya kuelekea kahama km 55 .
Kutoka town Hadi nyanguge km 35 na ..
JUMLA ya km 140 dual carriage.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chuga sio majengo ni lifesyle, $ dola, madini, chakula mzuriii, watalii kibao...mwanza kitu gani..hakuna pesa...hakuna matajiri wanaoweza tupa pesaa... ubabe wa kutosa.. watoto wakali.. mwanza ni maushamba tuu... chaga !! Ni balaaa...
 
Bado tuna reli za kwenye maji. Mv. Umoja - TZ . Mv. Uhuru 1 & 2 - KE, Mv. Kahwa, Mv. Pamba - UG na tunategemea kuongezewa reli nyingine ya kwenye maji na serikali ya SSH.

Chuga sio majengo ni lifesyle, $ dola, madini, chakula mzuriii, watalii kibao...mwanza kitu gani..hakuna pesa...hakuna matajiri wanaoweza tupa pesaa... ubabe wa kutosa.. watoto wakali.. mwanza ni maushamba tuu... chaga !! Ni balaaa...
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Kahamisha goli huyu tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…