Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Asee kwaiyo picha kwako ndio udhibitisho unaotaka..yani huku wazungu ni kama kwao, western culture yani Chugga kama mbele vile. Tokeni kidogo muje kutembea wasukuma hawarudi kwao kabisa
Ona hawa wapagazi wa mabegi ya wazungu halafu wako proud kabisa.Kwa akili hizi umaskini utawatafuneni mpaka mwisho wa dahari.Endeleeni kuwa wapagazi hivyo hivyo wakati vijana wa Mwanza wanaisaka pesa kwa biashara za kueleweka tena kubwa kubwa.
 
Sisi jadi yetu ni kutafuta hela hatutegemei uvuvi wa dagaa ndio tuishi. Kaskazini tuko kila kona ya nchi hii
Tunaongelea Arusha hapa,battle ni Arusha vs Mwanza au unataka tuigeuze iwe Kanda ya Ziwa vs Kaskazini?
 
Hujawahi niangusha Fact to Fact
 
Chuga sio majengo ni lifesyle, $ dola, madini, chakula mzuriii, watalii kibao...mwanza kitu gani..hakuna pesa...hakuna matajiri wanaoweza tupa pesaa... ubabe wa kutosa.. watoto wakali.. mwanza ni maushamba tuu... chaga !! Ni balaaa...
Bora wewe umeamua kukubali yaishe na ukatujia na mistari ya vina [emoji3][emoji3]
 
Ha ha ha ha,thithi chalii wa chuga tunamlilia Mama Samia atutengenezee bonge la stend
Walimchukia Magu ila yule jamaa angekuwa hai hii stendi yao ingekuwa inajengwa sasa, kwa staili ya serikali ya sasa itajengwa ila taratibu au ikatelekezwa kama ya moshi.
 
Serikali na Dunia inatambua hivi. Tunaomba rank izingatiwe jamani. Hii sio vita ni facts tu.
 

Attachments

  • 1677057589877.jpeg
    15.4 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…