Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Arusha kuna ndege za kimataifa ?????
 
Umemaliza au niongeze[emoji350]
 
Arusha kuna ndege za kimataifa ?????
mzito wewe kuelewa, uwanja kijiografia upo kilimanjaro lakini wanaoutumia ni arusha kwa asilimia karibu zote. Elewa. Wakitua tu kina Bill Gates, directly wanaitafuta Arusha, mwanza hakuna mtu ana muda nayo saa hiyo. Yani of little importance.
 
Mtu wa Arusha kuzoea kukutana na watu wa aina nyingi sana, tamaduni za aina nyingi. Yani ni international city, sio hiyo takataka ya samaki hapo.
mzito wewe kuelewa, uwanja kijiografia upo kilimanjaro lakini wanaoutumia ni arusha kwa asilimia karibu zote. Elewa. Wakitua tu kina Bill Gates, directly wanaitafuta Arusha, mwanza hakuna mtu ana muda nayo saa hiyo. Yani of little importance.
 
mzito wewe kuelewa, uwanja kijiografia upo kilimanjaro lakini wanaoutumia ni arusha kwa asilimia karibu zote. Elewa. Wakitua tu kina Bill Gates, directly wanaitafuta Arusha, mwanza hakuna mtu ana muda nayo saa hiyo. Yani of little importance.
sasa kama kashukia KIA na ndio uwanja wa kimataifa wa ndege na hapo kilimanjaro na arusha jiran aje mwanza kufuata nini wakati yeye kaja kutalii?
 
Arusha ni sehem pekee ambapo wazungu wakifika wabapashangaa
 
Mwanza hadi leo wanashangaa mtu mweupe, chotara nk. Mwanza ni shambani tu. Poor exposure ndio maana wanauziwaga magari mabovu.
 
Mwanza hadi leo wanashangaa mtu mweupe, chotara nk. Mwanza ni shambani tu. Poor exposure ndio maana wanauziwaga magari mabovu.
nyie mnasema mwanza ya mwaka gani jaman? arusha sehemu ya mji ni ndogo sana aisee yaan ukitoka nje kidogo ya mji tayar majanga ...mwanza jiji jaman nyie achen masihara
 
nyie mnasema mwanza ya mwaka gani jaman? arusha sehemu ya mji ni ndogo sana aisee yaan ukitoka nje kidogo ya mji tayar majanga ...mwanza jiji jaman nyie achen masihara
ukatoka hapa ukaenda kufungua thread nyingine ili ujifurahishe🤣🤣
 
mzito wewe kuelewa, uwanja kijiografia upo kilimanjaro lakini wanaoutumia ni arusha kwa asilimia karibu zote. Elewa. Wakitua tu kina Bill Gates, directly wanaitafuta Arusha, mwanza hakuna mtu ana muda nayo saa hiyo. Yani of little importance.
Wewe ndo mzito kuelewa umesema ndege za kimataifa zinatua Arusha nikakuuliza zipi.
Unageuka unasema KIA serves 90% cjui ya Arusha point ni kwamba Arusha hakuna ndege ya kimataifa inatua Case closed
 
Angalia ulichoandika!
hili battle sio la kwanza wala la pili na hakuna jibu chanya litakalopatikana kwenye hili battle maana naona watu wa Arusha hamtaki kabisa kukubali ukwel kwamba mwanza ipo juu.....kiserikali
Dar
Mwanza
Arusha
lakini bado hamtaki
kupandisha kwa hii miji kuwa na hadhi ya jiji
Mwanza 2000 years
Arusha 2006
yaan mwanza imekuwa jiji miaka sita baadae ndio Arusha nayo ndio imetangazwa
yaan kama ni mtoto anakaribia kumaliza elimu ya msingi lakin bado tupo hapa tunabishana
 
Wanawake wepi kati ya mwanza na arusha wana misambwanda wazeee

Ova
Mwanza imekusanya makabila yafuatayo:
Wahaya
Wanyaturu
Wasukuma
Wakurya
Wanyamwezi
Wamanyema
Waha
Wakurya
Wazanaki
Wakerewe
Watusi(wanaletwa na waha)
Wachaga
Wamasai
Nk.
Sasa wanawake wa makabika yote hayo huoni wataipuki arusha mbali ambayo ina wamasai, wachaga,waarusha,wadigo,wanyiramba.
Mwanza ni moto imekusanya makabila mengi kuliko Arusha ambayo ina makabila yanayozunguka pale tu.
Mfano wanyakyusa,wabena ni rahisi kufikiria kwenda kutafuta maisha mwanza kuliko Arusha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…