fredo fred
JF-Expert Member
- Oct 17, 2015
- 748
- 1,615
Arusha kuna ndege za kimataifa ?????Mall kubwa tanzania nzima inaitwa AIM mall ipo Arusha. Tembea uone. acha assumptions. Kaa ukijua mimi ni mzawa na mkazi wa Dar by the way. Kiserikali utafeli. Maana Jiji la Arusha na jiji la mwanza yani ilemela. Ilemela imeachwa kila kitu kuanzia mapato , uwekezaji nk. unasahau arusha Triple A, Club D ndio kubwa kwa Tanzania, au kwakuwa wenzetu hawana maneno maneno sana? c'mon Mwanza hakuna ata ndege ya kimataifa ya abiria hadi leo hii. Embu acha zako wewe. Mwanza ni pakishamba sana yani.