Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Mall kubwa tanzania nzima inaitwa AIM mall ipo Arusha. Tembea uone. acha assumptions. Kaa ukijua mimi ni mzawa na mkazi wa Dar by the way. Kiserikali utafeli. Maana Jiji la Arusha na jiji la mwanza yani ilemela. Ilemela imeachwa kila kitu kuanzia mapato , uwekezaji nk. unasahau arusha Triple A, Club D ndio kubwa kwa Tanzania, au kwakuwa wenzetu hawana maneno maneno sana? c'mon Mwanza hakuna ata ndege ya kimataifa ya abiria hadi leo hii. Embu acha zako wewe. Mwanza ni pakishamba sana yani.
Arusha kuna ndege za kimataifa ?????
 
Vitu vilivyonivutia arusha

1.uwanja wa golf mkubwa na wa kisasa EA nzima kili golf club
2. Uwanja mkubwa wa mashindano ya farasi
3.uwanja mkubwa wa mashindano na michezo ya pikipiki
4.art gallery
5.kiwanda local cha bia aina ya twiga
6.mahakama ya africa
7.eneo pekee la zipline Tanzania
8.hotel nyingi za nyota 4 na 5
9.supermarket nyingi
10.apartment nyingi na airbnb nyingi kushinda hata dar
Umemaliza au niongeze[emoji350]
 
Arusha kuna ndege za kimataifa ?????
mzito wewe kuelewa, uwanja kijiografia upo kilimanjaro lakini wanaoutumia ni arusha kwa asilimia karibu zote. Elewa. Wakitua tu kina Bill Gates, directly wanaitafuta Arusha, mwanza hakuna mtu ana muda nayo saa hiyo. Yani of little importance.
 
Mtu wa Arusha kuzoea kukutana na watu wa aina nyingi sana, tamaduni za aina nyingi. Yani ni international city, sio hiyo takataka ya samaki hapo.
mzito wewe kuelewa, uwanja kijiografia upo kilimanjaro lakini wanaoutumia ni arusha kwa asilimia karibu zote. Elewa. Wakitua tu kina Bill Gates, directly wanaitafuta Arusha, mwanza hakuna mtu ana muda nayo saa hiyo. Yani of little importance.
 
mzito wewe kuelewa, uwanja kijiografia upo kilimanjaro lakini wanaoutumia ni arusha kwa asilimia karibu zote. Elewa. Wakitua tu kina Bill Gates, directly wanaitafuta Arusha, mwanza hakuna mtu ana muda nayo saa hiyo. Yani of little importance.
sasa kama kashukia KIA na ndio uwanja wa kimataifa wa ndege na hapo kilimanjaro na arusha jiran aje mwanza kufuata nini wakati yeye kaja kutalii?
 
Arusha ni sehem pekee ambapo wazungu wakifika wabapashangaa
 
Mwanza hadi leo wanashangaa mtu mweupe, chotara nk. Mwanza ni shambani tu. Poor exposure ndio maana wanauziwaga magari mabovu.
 
Mwanza hadi leo wanashangaa mtu mweupe, chotara nk. Mwanza ni shambani tu. Poor exposure ndio maana wanauziwaga magari mabovu.
nyie mnasema mwanza ya mwaka gani jaman? arusha sehemu ya mji ni ndogo sana aisee yaan ukitoka nje kidogo ya mji tayar majanga ...mwanza jiji jaman nyie achen masihara
 
nyie mnasema mwanza ya mwaka gani jaman? arusha sehemu ya mji ni ndogo sana aisee yaan ukitoka nje kidogo ya mji tayar majanga ...mwanza jiji jaman nyie achen masihara
ukatoka hapa ukaenda kufungua thread nyingine ili ujifurahishe🤣🤣
 
mzito wewe kuelewa, uwanja kijiografia upo kilimanjaro lakini wanaoutumia ni arusha kwa asilimia karibu zote. Elewa. Wakitua tu kina Bill Gates, directly wanaitafuta Arusha, mwanza hakuna mtu ana muda nayo saa hiyo. Yani of little importance.
Wewe ndo mzito kuelewa umesema ndege za kimataifa zinatua Arusha nikakuuliza zipi.
Unageuka unasema KIA serves 90% cjui ya Arusha point ni kwamba Arusha hakuna ndege ya kimataifa inatua Case closed
 
Angalia ulichoandika!
hili battle sio la kwanza wala la pili na hakuna jibu chanya litakalopatikana kwenye hili battle maana naona watu wa Arusha hamtaki kabisa kukubali ukwel kwamba mwanza ipo juu.....kiserikali
Dar
Mwanza
Arusha
lakini bado hamtaki
kupandisha kwa hii miji kuwa na hadhi ya jiji
Mwanza 2000 years
Arusha 2006
yaan mwanza imekuwa jiji miaka sita baadae ndio Arusha nayo ndio imetangazwa
yaan kama ni mtoto anakaribia kumaliza elimu ya msingi lakin bado tupo hapa tunabishana
 
Wanawake wepi kati ya mwanza na arusha wana misambwanda wazeee

Ova
Mwanza imekusanya makabila yafuatayo:
Wahaya
Wanyaturu
Wasukuma
Wakurya
Wanyamwezi
Wamanyema
Waha
Wakurya
Wazanaki
Wakerewe
Watusi(wanaletwa na waha)
Wachaga
Wamasai
Nk.
Sasa wanawake wa makabika yote hayo huoni wataipuki arusha mbali ambayo ina wamasai, wachaga,waarusha,wadigo,wanyiramba.
Mwanza ni moto imekusanya makabila mengi kuliko Arusha ambayo ina makabila yanayozunguka pale tu.
Mfano wanyakyusa,wabena ni rahisi kufikiria kwenda kutafuta maisha mwanza kuliko Arusha.
 
Alaa kwa hiyo wewe tuu ndio umefanya Kazi hapo Arusha? Hayo maendeleo makubwa yako wapi?

Kupiga domo mko vizuri sana ila sasa ukiambiwa onyesha hayo maendeleo unapotea..

Hiyo Arusha ni zaidi ya Utalii,kuna viwanda hadi vya kutengeneza transformers,kitovu cha mbegu na utafiti wa teknolojia za kisasa za kilimo,taasisi za elimu nk.

Ukikuta vitu kama hivi hapa huko Mwanza ni tag

View attachment 2057005

View attachment 2057006

View attachment 2057007

View attachment 2057008

View attachment 2057009

View attachment 2057010

View attachment 2057011

View attachment 2057012

View attachment 2057013

View attachment 2057014

unahangaika kutuma mi picha picha yanini kijana, yani unapambana na sehemu iliyo tangazwa kua jiji mwaka 2000 kipindi wewe bado unajinyea na kutawazwa dhidi ya arusha?
 
Back
Top Bottom