Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Kama sio ushabiki, lile daraja huwezi kuliita upumbavu.

Shida ni kwamba hamtembei, muuza matunda utajuaje umuhimu wa miuondombinu mbalimbali nchini?

Mkiuza matunda huko Chuga mnaona hakuna umuhimu wa mengine kufanyika.
Unuhimu wake ni upi kama siyo ukabila ndio uliwekwa mbele zaid na yule mwandazake?! Maana jamaa lilitaka kufanya kanda ya ziwa kama dubai vile wakati watu wake ni masikini wa kutupa. Lile daraja ni moja ya miradi ya kikumbavu aliyofanya lile jitu. Bora limelala kuzimu
 
Umesahau ukanda uliofanywa na kina Msuya au unajitoa ufahamu
 
Ni lete hoja sehem hakuna hoja kwan mim ni mweh kama wew.

Thibitisha arusha ndo kichwa cha Tanzania?

Sasa unaona ni akili za kawaida kusema kwamba Arusha ndio kichwa cha Tanzania?

Utapoteza muda wako bure tu.
 
Magufuli bridge - Arusha roads= change inabaki🀣🀣🀣
 

Muuza matunda huwezi kuelewa umuhimu wa madaraja hata siku moja, hivyo siwezi kukueleza chochote.

Wafanya biashara wanaolazimika kusafiri na kusafirisha mizigo yao ndio wataelewa, wewe MUUZA MATUNDA huwezi kuelewa.
 
Ulitaka alijenge njiro au unga LIMITED
 
Ni lete hoja sehem hakuna hoja kwan mim ni mweh kama wew.

Thibitisha arusha ndo kichwa cha Tanzania?
Kwa uchumi wa dunia tunapoelekea utalii ndio utakuwa namba moja kwa kuingiza mataifa faida kubwa. Angalia Dubai, wanavyofanya. Serikali imesanuka. Mama Samia amesanuka ndio maana alifanya ile video ya royal tour. Kwa maana iyo Arusha ndio kitovu cha utalii nchi hii na hilo aubishi. Ndio maana nakumbiya miaka mitano mbele Arusha itakuwa next level kitaifa na kimataifa bisha ama meza wembe Arusha ni kichwa cha nchi.
 
Muuza matunda huwezi kuelewa umuhimu wa madaraja hata siku moja, hivyo siwezi kukueleza chochote.

Wafanya biashara wanaolazimika kusafiri na kusafirisha mizigo yao ndio wataelewa, wewe MUUZA MATUNDA huwezi kuelewa.
Mimi muuza matunda lakini naweza lisha familia ako na ukoo wako wote pale mwanza
 
Kwaiyo gari kwako ndio maendeleo?! Kweli shamba city munazingua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] vipi kuhusu maisha ya mutu mmoja mmoja mbona umasikini umewajaa pamoja na was lile jitu mwendazake kuwapendelea?
Umetumia figure Gani kupima umaskini wa mtu mmoja mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili ndio sababu ya kudai kuwa, Arusha ni kichwa cha Tanzania?
 
Magufuli bridge - Arusha roads= change inabaki🀣🀣🀣
Lile jitu lilikuwa jizi miradi mingi sifuri ziliongezwa. Jitu linanunua ndege kwa cash ushaona wapi dunia hii?! Tulikosea sana kama taifa kumpa nchi msukuma. Bahati nzuri Mungu katuhurumia..πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…