Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Sasa hapo unaweza ukafananisha na empire tu? Bado the hub, kipong? Tena kwenye bata ndo asijaribu yani, sijui ma club sijui nini, mwanza tulizeni kipago. Tuliotoka dar tunajua.
Kwani kutoka Dar ndo kunaongeza idadi ya clubs na sehemu zingine za Bata Arusha. Kifupi sijawahi kukuelewa. Leta ushahidi basi tushindane vizuri kijana
 
Ukiondoa Dar, Arusha inafuatia kuwa na uwekezaji mzuri kwenye huduma za afya.

Walau pia nafasi ya kuokoa maisha yako ni kubwa sana kwa kupata matibabu sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…