Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Kama hyo mall inabeba space za aim mall Mara tatu ..bas inatosha kabisa hata kuhudumia nchi.[emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona mnawadanganya ambao hawajafika mwanza bhana[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Iyo mall sasa hivi imegeuzwa madarasa ya wanafunzi kwa kukosa tenants.....mda si mrefu wataweka na hostel kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haaaaaaa
 
Hii takwimu yako inaelezea wingi wa vibarua au viwanda mbona uliyetuletea pia hujui umetuma nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…