Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Kama hyo mall inabeba space za aim mall Mara tatu ..bas inatosha kabisa hata kuhudumia nchi.[emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona mnawadanganya ambao hawajafika mwanza bhana[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Iyo mall sasa hivi imegeuzwa madarasa ya wanafunzi kwa kukosa tenants.....mda si mrefu wataweka na hostel kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Leta latest. Maskini wa mwanza
Hizapo
20230226_204911.jpg
 
Naona mnawadanganya ambao hawajafika mwanza bhana[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Iyo mall sasa hivi imegeuzwa madarasa ya wanafunzi kwa kukosa tenants.....mda si mrefu wataweka na hostel kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
Haaaaaaa
 
Taarifa nyepesi kama ile umeshindwa kuielewa kweli?
Yaani iyo ndio mikoa ambayo inaviwanda vingi kwa kifupi...Sasa Mwanza jiji la pili kwa ukubwa linakuaje halina viwanda?unajua nikisema mm mtasema nawatukana

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Hii takwimu yako inaelezea wingi wa vibarua au viwanda mbona uliyetuletea pia hujui umetuma nini
 
Back
Top Bottom