Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Serikali inawekeza sehemu yenye matokeo chanya..
Anyway Tokyo ni Mega city hilo halina ubishi...lakini Dubai nayo iko kwenye Category ya International city...World class city kama klovyo Tokyo na majiji mengine Makubwa...Uwekezaji uliowekwa pale usiuchukulie Poa

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Sas mwambie huyo mwenzio. Arusha itatembelewa na kila mtu ila uchumi upo mwanza
 
Sasa mlivyokua mnabisha mlikua mnabishia nn?

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Hamn aliebisha marais hawakuja arusha. Question was upo uthibitisho hao marais walilala arusha ? If not what so special sabab hata chato kiongoz wa china alienda.

Mje na kitu reasonable na sio viongozi kuja arusha yet sehem nyingine pia wamefika.
 
Wang Yi alienda chato , kenyata kalala chato, mseven,rais wa Ethiopia n.k
Na bado watu wa chato hawaongei .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu hii tabia ya mwanza kuongea kilugha kwenye daladala mnatuaibisha bhana jiji au kijiji hicho
Makabila yapo na lazima yaendelee kuwepo na ndo chimbuko la taifa hili.

Muhim kusiwepo ukabila ila tamaduni za kikabila ni lazma ziwepo. Kuongea kilugha ata ikulu sio kosa au unakifungu cha sheria kinazuia lugha za kikabila kweny dalala.

Kuongea kiswahil unaona ndo ujanja ila kuongea lugha chimbuko la kiswahili unaona ni ujinga [emoji3]
 
Wabheja sana
 
Kisukuma kimekua lini chimbuko la kiswahili mbona unatupanga mkuu[emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…