tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,972
- 20,221
Serikali inawekeza sehemu yenye matokeo chanya..I mean UEA. Ata kwa city dubai haisogelei tokyo though ni sehem inaaccomodate watu wakubwa dunia.
Huyo ndugu yako anadhan hao watu wakubwa wanaenda arusha kupaona njiro , unga LIMITED au ni wameinvest hapo wanakuja kuangalia biashara zao. Wapo hapo sabab serikali imeifany kuwa centre ya utalii.Inabid mshukur sana serikali na sera zake kweny sekta ya utalii sio kilimo, madini hamuisogelei mwanza kidogo ufugaji.
Nyie ni kama DODOMA kaka bila serikali hamtoboi.
Anyway Tokyo ni Mega city hilo halina ubishi...lakini Dubai nayo iko kwenye Category ya International city...World class city kama klovyo Tokyo na majiji mengine Makubwa...Uwekezaji uliowekwa pale usiuchukulie Poa
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app