Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Iringa kuna mpangilio buana

Ndio maana tunafchaga kwa majirani zetu wasijue mwanza ni jiji manake ni aibu[emoji2958]
Kwa taarifa yako Iringa na Arusha hakuna tofauti yoyote. Na miji hii miwili ukiiunganisha bado haifikii Mwanza
 
Yes bro

Ulaya pekee ilioko tanzania [emoji1241]

Tafta pesa uje utembee mkuu na usifikie ngarenaro [emoji3]
Ulaya hii hii yakina Paris au unazungumzia ulaya ipi kaka [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…