Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Mwanza wanajisumbuaga tu. Hakuna mtanzania anadhani mwanza ni jiji la kijanja. Mwanza ni likijiji likubwa tu. Ni sawa na nyumba likubwa lililojengwa hovyo ukalinganisha na nyumba ya kawaida lakini ni ya kisasa. Na Arusha ni mji wa kisasa. Hizo blah blah za mji wa pili sijui wa ngapi, mbona kimapato arusha jiji inaizidi mwanza city centre? Mwanza mkae mkijua nyie ni washamba tu na li mji lenu linajulikana ni la kishamba, na mimi nimesema na ni mtoto wa DSM. Ila Arusha nitaishi anytime anyday sio mashenzini huko kwa washamba. Mji upo nyuma kama sana.
 
Mbona hasira mkuu sana kun nn, Tanga imeongoza kwa ukusanyaji wa mapato kati ya majiji yote, ikifuatiwa na arusha na ya tatu Mwanza je ina maana Tanga imeizidi Dar kiuchumi, au ina maana Tanga imeizid Mwanza kiuchumi hizo ni percentage zilizofikiwa na hayo majiji, nyie Arusha mna safari ndefu sana ya kufikia jiji la Mwanza kiuchumi na kila kitu nyie nje na utalii hamna kitu kingine.
 
Percentage wise.
 
Iko juu milimani kwenye mawe labda au juu Kwa lipi labda
 
Kiukweli Mwanza inatia huruma yaani inaonewa na kila Jiji hapa Tzn except Mbeya na Tanga tuu..

Arusha Tzn👇





 
Swala la mapato ni swala ambalo linahitaji mkurugenzi mweye DNA za uchumi,kuna kipindi Dom iliongoza kimapato kwakuwa ilikuwa na mkurugenzi bora
Acha porojo zisizo na mantiki.Dom iliongiza kiasilimia na ni kipindi kile viwanja vimepimwa Sana na kuuzwa waliingiza mapato mengi Sana.

Baada ya hapo Dom imekuwa nyuma ya Dar tuu hadi leo hii, nadhani umesoma hilo jedwali hapo juu ni mapato ya nusu mwaka hayo 2021/2022.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…