Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Arusha Jiji Bora la Utalii Duniani.Siku Mwanza wakifika hapa mni tag 👇

Screenshot_20220121-193121.png
 
Mwanza wanajisumbuaga tu. Hakuna mtanzania anadhani mwanza ni jiji la kijanja. Mwanza ni likijiji likubwa tu. Ni sawa na nyumba likubwa lililojengwa hovyo ukalinganisha na nyumba ya kawaida lakini ni ya kisasa. Na Arusha ni mji wa kisasa. Hizo blah blah za mji wa pili sijui wa ngapi, mbona kimapato arusha jiji inaizidi mwanza city centre? Mwanza mkae mkijua nyie ni washamba tu na li mji lenu linajulikana ni la kishamba, na mimi nimesema na ni mtoto wa DSM. Ila Arusha nitaishi anytime anyday sio mashenzini huko kwa washamba. Mji upo nyuma kama sana.
 
Mbona hasira mkuu sana kun nn, Tanga imeongoza kwa ukusanyaji wa mapato kati ya majiji yote, ikifuatiwa na arusha na ya tatu Mwanza je ina maana Tanga imeizidi Dar kiuchumi, au ina maana Tanga imeizid Mwanza kiuchumi hizo ni percentage zilizofikiwa na hayo majiji, nyie Arusha mna safari ndefu sana ya kufikia jiji la Mwanza kiuchumi na kila kitu nyie nje na utalii hamna kitu kingine.
 
Percentage wise.
 
Ni kweli mwanza iko juu ya arusha, vinavyoiangusha arusha kwa sana ni kipindi cha mvua mji unakuwa tope na kipindi cha kiangazi vumbi na vimbunga, lakini upande wa mambo mengine mji ni poa tu lakini haifikii mwanza,
Pia kwa watoto wazuri naiona arusha iko mbele,
Mabinti wengi wa mwanza sura ni za baba zao
Ila kipindi vyuo havijafungwa watoto wazuri wanakuwepo mwanza usiombe vyuo vifungwe,mnabaki na watoto wa kike kama wa kiume,
Kwa madhari nzuri za kutembekea mwanza iko mbele na ni mji mkubwa kuliko arusha,
Mi ni mzaliwa wa mwanza na nimekulia mwamza, lakini ukubwani ktk kutafuta tafuta nimeweka makazi yangu Arusha
Iko juu milimani kwenye mawe labda au juu Kwa lipi labda
 
Kiukweli Mwanza inatia huruma yaani inaonewa na kila Jiji hapa Tzn except Mbeya na Tanga tuu..

Arusha Tzn👇

Arusha-Typical-city-scene-in-Arusha-showing-buildings-and-landmarks.jpg

Arusha_City_view.jpg

FJiMI__acAIIQtS.jpeg
 
Swala la mapato ni swala ambalo linahitaji mkurugenzi mweye DNA za uchumi,kuna kipindi Dom iliongoza kimapato kwakuwa ilikuwa na mkurugenzi bora
Acha porojo zisizo na mantiki.Dom iliongiza kiasilimia na ni kipindi kile viwanja vimepimwa Sana na kuuzwa waliingiza mapato mengi Sana.

Baada ya hapo Dom imekuwa nyuma ya Dar tuu hadi leo hii, nadhani umesoma hilo jedwali hapo juu ni mapato ya nusu mwaka hayo 2021/2022.
 
Back
Top Bottom