Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chiga sijui iko nchi gani Ila sato wako watamu sana hahahahasato chiga wapo? si umeona unavyowajua? mwanza ni nouma
Hawawezi kuelewa hawa watu wa shambani. Backwards , technologically challenged people from Mwanza. Slow learners.
Mbona hasira mkuu sana kun nn, Tanga imeongoza kwa ukusanyaji wa mapato kati ya majiji yote, ikifuatiwa na arusha na ya tatu Mwanza je ina maana Tanga imeizidi Dar kiuchumi, au ina maana Tanga imeizid Mwanza kiuchumi hizo ni percentage zilizofikiwa na hayo majiji, nyie Arusha mna safari ndefu sana ya kufikia jiji la Mwanza kiuchumi na kila kitu nyie nje na utalii hamna kitu kingine.Mwanza wanajisumbuaga tu. Hakuna mtanzania anadhani mwanza ni jiji la kijanja. Mwanza ni likijiji likubwa tu. Ni sawa na nyumba likubwa lililojengwa hovyo ukalinganisha na nyumba ya kawaida lakini ni ya kisasa. Na Arusha ni mji wa kisasa. Hizo blah blah za mji wa pili sijui wa ngapi, mbona kimapato arusha jiji inaizidi mwanza city centre? Mwanza mkae mkijua nyie ni washamba tu na li mji lenu linajulikana ni la kishamba, na mimi nimesema na ni mtoto wa DSM. Ila Arusha nitaishi anytime anyday sio mashenzini huko kwa washamba. Mji upo nyuma kama sana.
Percentage wise.Mbona hasira mkuu sana kun nn, Tanga imeongoza kwa ukusanyaji wa mapato kati ya majiji yote, ikifuatiwa na arusha na ya tatu Mwanza je ina maana Tanga imeizidi Dar kiuchumi, au ina maana Tanga imeizid Mwanza kiuchumi hizo ni percentage zilizofikiwa na hayo majiji, nyie Arusha mna safari ndefu sana ya kufikia jiji la Mwanza kiuchumi na kila kitu nyie nje na utalii hamna kitu kingine.
Iko juu milimani kwenye mawe labda au juu Kwa lipi labdaNi kweli mwanza iko juu ya arusha, vinavyoiangusha arusha kwa sana ni kipindi cha mvua mji unakuwa tope na kipindi cha kiangazi vumbi na vimbunga, lakini upande wa mambo mengine mji ni poa tu lakini haifikii mwanza,
Pia kwa watoto wazuri naiona arusha iko mbele,
Mabinti wengi wa mwanza sura ni za baba zao
Ila kipindi vyuo havijafungwa watoto wazuri wanakuwepo mwanza usiombe vyuo vifungwe,mnabaki na watoto wa kike kama wa kiume,
Kwa madhari nzuri za kutembekea mwanza iko mbele na ni mji mkubwa kuliko arusha,
Mi ni mzaliwa wa mwanza na nimekulia mwamza, lakini ukubwani ktk kutafuta tafuta nimeweka makazi yangu Arusha
Swala la mapato ni swala ambalo linahitaji mkurugenzi mweye DNA za uchumi,kuna kipindi Dom iliongoza kimapato kwakuwa ilikuwa na mkurugenzi boraMwanza ni useless,imagine Jiji Lina watu kibao lakini Mapato ni kiduchu Sana [emoji1][emoji1]
View attachment 2099967
Acha porojo zisizo na mantiki.Dom iliongiza kiasilimia na ni kipindi kile viwanja vimepimwa Sana na kuuzwa waliingiza mapato mengi Sana.Swala la mapato ni swala ambalo linahitaji mkurugenzi mweye DNA za uchumi,kuna kipindi Dom iliongoza kimapato kwakuwa ilikuwa na mkurugenzi bora
Serikalianayedhani mwanza ipo juu ya arusha ni mwehu tu.