Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Hahaa wazee wa mabugando. Kwendraa mshamba.
Na wewe umeanza kuniita mm mshamba [emoji1787][emoji1787] mziki wangu utauweza lakini
Haueleweki upo kama mnyoo mara picha za kishamba ukizidiwa unatuma picha zisizo na mbele wala miguu
Hapo umetoka kutuma picha za hotel nimekujibu umepotea chap kama bao la kwanza

Unaishi arusha sehemu gani kwanza?
 
Ikawaje sas jiji la pili likawa mwanza #Mliwehuka uko mkasahu kujituma ama [emoji41]
 
Wala, population growth ikawa ndogo, na siasa zikahappen. Ila kwa idadi ya watu pale town na huduma, so far hakuna wilaya inaizidi. Kinondoni ni vile watu ni wengi na eneo ni kuubwa sana, ila ndio zinafuatana.
Zinafuata kweny nin. Tueleweshe ban bro sis wanaarusha tunatak kufaham
 
Huwa unanifurahisha sana,ukizidiwa tu unashusha waraka wa maneno matupu.Vipi wale ndugu zako waliokimbia Jiji la Mwanza wanaendeleaje huko Chuga? Walishalipwa zile pesa za Mzee wao alikuwa anaidai Bugando [emoji2][emoji2]
 
Anzisha, yani mi mshamba wa mwanza anizidi? Nyokoo jaribu
 
Huu nao ni mkate wa chai ya kesho asubuhi.
 
Yani huna ata aibu, Bugando? mji wenyewe umekuwa established 1963, ushuzi mtupu. Wenzenu incorporated 1948 as a town, siyo mkoa.
Mbona mpo dormant sasa. Hujiulizi kwa Nini. Dodoma inaenda kuwashikisha adabu yenu
 
Mbona mpo dormant sasa. Hujiulizi kwa Nini. Dodoma inaenda kuwashikisha adabu yenu
Dormant ipi? Dodoma wapo walikiwa mbele yenu na wapo mbele yenu shamba city. Mwanza tunapenda samaki wenu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…