Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,608
Mwanza ipo toka 1920Yani huna ata aibu, Bugando? mji wenyewe umekuwa established 1963, ushuzi mtupu. Wenzenu incorporated 1948 as a town, siyo mkoa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanza ipo toka 1920Yani huna ata aibu, Bugando? mji wenyewe umekuwa established 1963, ushuzi mtupu. Wenzenu incorporated 1948 as a town, siyo mkoa.
Unatumia kichwa kama mfuniko wa shingoYani huna ata aibu, Bugando? mji wenyewe umekuwa established 1963, ushuzi mtupu. Wenzenu incorporated 1948 as a town, siyo mkoa.
Na wewe umeanza kuniita mm mshamba [emoji1787][emoji1787] mziki wangu utauweza lakiniHahaa wazee wa mabugando. Kwendraa mshamba.
Unatuonea ban bro. Sisi tulikuwa tunatest tu [emoji23]
Ikawaje sas jiji la pili likawa mwanza #Mliwehuka uko mkasahu kujituma ama [emoji41]Wala, zipo kibao nakosa tu muda, wewe Arusha ilikuwa ndio manispaa yenye maendeleo kuliko zote until 1994, braza Mwanza ni mtoto mdogo sana. Kimsingi Mwanza ni mtoto ata kwa Tanga. Mtu wa Tanga mjini ana ustaarab wa mjini kama alivyo wa Arusha au Dar ila sio mwanza. mwanza ni washamba mmeanza kuona maghorofa juzi juzi ndio maana mna wenge, alafu bado sana pia, pamoja na population kuwa kubwa, mmezidiwa idadi ya majengo ya ghorofa na huduma za kisasa mkubali mkatae. mtajijua wenyewe.
Zinafuata kweny nin. Tueleweshe ban bro sis wanaarusha tunatak kufahamWala, population growth ikawa ndogo, na siasa zikahappen. Ila kwa idadi ya watu pale town na huduma, so far hakuna wilaya inaizidi. Kinondoni ni vile watu ni wengi na eneo ni kuubwa sana, ila ndio zinafuatana.
Kipindi hiko wazungu wanashindwa kusema ngwanza [emoji23][emoji23][emoji23].Mwanza ipo toka 1920
[emoji3][emoji3][emoji3]Hizo TERMINAL huku ni min supermarket au TERMINAL za bus [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tumekosa sisi,tumekosa sana (in Job's voice) [emoji3][emoji3]Kaka tuwie radhi Sisi wana arusha tumekomaaa[emoji23][emoji23][emoji119]
Huwa unanifurahisha sana,ukizidiwa tu unashusha waraka wa maneno matupu.Vipi wale ndugu zako waliokimbia Jiji la Mwanza wanaendeleaje huko Chuga? Walishalipwa zile pesa za Mzee wao alikuwa anaidai Bugando [emoji2][emoji2]Wala, zipo kibao nakosa tu muda, wewe Arusha ilikuwa ndio manispaa yenye maendeleo kuliko zote until 1994, braza Mwanza ni mtoto mdogo sana. Kimsingi Mwanza ni mtoto ata kwa Tanga. Mtu wa Tanga mjini ana ustaarab wa mjini kama alivyo wa Arusha au Dar ila sio mwanza. mwanza ni washamba mmeanza kuona maghorofa juzi juzi ndio maana mna wenge, alafu bado sana pia, pamoja na population kuwa kubwa, mmezidiwa idadi ya majengo ya ghorofa na huduma za kisasa mkubali mkatae. mtajijua wenyewe.
Unapiga za kichwaa
Huu nao ni mkate wa chai ya kesho asubuhi.Wala, zipo kibao nakosa tu muda, wewe Arusha ilikuwa ndio manispaa yenye maendeleo kuliko zote until 1994, braza Mwanza ni mtoto mdogo sana. Kimsingi Mwanza ni mtoto ata kwa Tanga. Mtu wa Tanga mjini ana ustaarab wa mjini kama alivyo wa Arusha au Dar ila sio mwanza. mwanza ni washamba mmeanza kuona maghorofa juzi juzi ndio maana mna wenge, alafu bado sana pia, pamoja na population kuwa kubwa, mmezidiwa idadi ya majengo ya ghorofa na huduma za kisasa mkubali mkatae. mtajijua wenyewe.
Mbona mpo dormant sasa. Hujiulizi kwa Nini. Dodoma inaenda kuwashikisha adabu yenuYani huna ata aibu, Bugando? mji wenyewe umekuwa established 1963, ushuzi mtupu. Wenzenu incorporated 1948 as a town, siyo mkoa.
Kheri umeliona Hilo 😀😀😀😀Unatumia kichwa kama mfuniko wa shingo
Dormant ipi? Dodoma wapo walikiwa mbele yenu na wapo mbele yenu shamba city. Mwanza tunapenda samaki wenu tu.Mbona mpo dormant sasa. Hujiulizi kwa Nini. Dodoma inaenda kuwashikisha adabu yenu