Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Napata wakati mgumu sana kuamini hapa ni Mwanza kwa kweli japo napapenda Mwanza....
Ulizan hapo ni njombe au sumbawanga😂😂😂, karibu Mwanza ni sawa na Rio de Janeiro, kwenye fukwe za copa cabana
 
Sisi tunacheza golf na rugby mjomba, michezo ya matajiri, soccer pitches zipo kibao, Golf Courses in Tanzania
Nasubiri nione golf club hapo kijijini mwanza, home of mabugandos
 
Sasa wewe unafananisha standi mpya ya a mabasi ya mwanza na stand gani ya Arusha. Arusha stand mpya itakuwa State Of Art Tanzania nzima kwasababu Arusha ni Tourism Capital of Tanzania haiwezekani kujenga standi Kama ya mikoa mingine kwanza fuatilia ujionee hakuna stand Kama iyo . Itajengwa baadae sana kwani iyo stand ni mfano Africa Mashariki na Kati haijawai tokea. Subiri utaona tusiandikie mate akati wino upo
 
Humu ukija na maneno matupu unaonekan mwehu kama wehu wengne
 
Hahaha, sasa kama airport tu mnajengewa kama godown la pamba au sheli, leo stend ndo iwe state of art ujinga tu
 
Ingekua ni muhim hio airport TERMINAL kuwa state of arts sabab wanakuja watu kutoka nje ya nchi.

Hio state of arts iwe stand inayoleta watu wa manyara [emoji23] iache kuwa kwa airport TERMINAL
 
Ingekua ni muhim hio airport TERMINAL kuwa state of arts sabab wanakuja watu kutoka nje ya nchi.

Hio state of arts iwe stand inayoleta watu wa manyara [emoji23] iache kuwa kwa airport TERMINAL
Si ndo hapo sasa yani watu kutoka mugumu serengeti watengenezewa state of art halaf internationals watengenezewe godown
 
Acha hizo wewe, nakuwekea the best pitch in Tanzania. Hamtembei wala hamjui mnakariri. Na bado zipo kibao kali hatari arusha
Hivi binti kichwani ni mzima kweli "na bado zipo kibao kali" halafu unapost moja [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…