Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Nilisema staki attacks na Matusi lete data zako. Hasira za mkiz peleka hukoo, kichwa yako ipo kama dagaa umejaa mchanga
Nyie ndo mnaanzaga, tunawachekigi, ila tukianza vita ya matusi mtajua hamjui. Sema kwakuwa tumewazidi huwa tunawadharau tu.
 
Yeah, and in terms of development the list be like
1. Dar es salaam
2. Mwanza
3. Zanzibar town
4. Arusha
5. Dodoma
6. Tanga
7. Mbeya
8. Iringa
9. Moshi
10. Morogoro
Haya sasa turudi kwenye kipi kipo Mwanza halafu Arusha hakipo na kipi kipo Arusha halafu Mwanza hakipo
Hiki kitu kipo Mwanza ila Arusha mtakipata karne ijayo[emoji1787][emoji1787]
 
Nyie ndo mnaanzaga, tunawachekigi, ila tukianza vita ya matusi mtajua hamjui. Sema kwakuwa tumewazidi huwa tunawadharau tu.
Nishawahi kukutukana anyway lete data zako kudhibitisha kwamba Arusha ni 2nd largest city au 2nd most Urbanised City. Kingine dharau zako haziniletei pesa, ni juu yako kunidharau au kuniheshimu.
 
 
Unachokiona kwenye hii picha hapa chini Kiko Arusha tuu
 
Maghorofa mawili yasiyovutia, daladala zilizochakaa, barabara iliyochoka, mawingu mabaya, homeless people pembeni mwa barabara, bango la Namanga, miti yenye mpangilio mbovu, that's all.
Tayari maumivu 😁😁😁😁
Bado Kuna kingine hujataja
 
Tayari maumivu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Bado Kuna kingine hujataja
Jua kali, alama ya watembea kwa miguu barabarani, pikipiki mbovu, madereva bodaboda, taa chafu barabarani, n.k
Kiufupi nimeona hivyo, na kweli nilichokiona hapo kipo Arusha tu[emoji38][emoji38]
 
Nyie ndo mnaanzaga, tunawachekigi, ila tukianza vita ya matusi mtajua hamjui. Sema kwakuwa tumewazidi huwa tunawadharau tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe lianzishe tu tupo mangosha wa mbasa tunapiga miguu miwili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…