Qualitycontrol
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 777
- 498
Sawa sawa mkuu..nikichoka ntawachia wengineNgoja nione kama una pumzi ya kutosha kwa hii ligi[emoji23][emoji23]
Hiyo aloleta pia si render?!Unaleta render [emoji3][emoji3]
Soko kuu la mwanza ujenzi upo 85%,,, ulikuja na upepo wa picha now umepoa[emoji1787][emoji1787]Hii project hata Arusha ipo ..japo kiwanja kikuu Cha ndege ni KIAView attachment 2545237
Ujenzi upo asilimia nyingi tuHiyo aloleta pia si render?!
HiiHiyo aloleta pia si render?!
Haina maana katika maendeleo ya mji ada ingia kwenye website kama unaleta mwanao but sizan Kam kwenye Uzi huu inahusika sanaTuone ada
Usiwe unaleta magodown humu ........
Hapa kwa ujenzi wa soko nawapongeza kwa kutangulia kukamilisha, Arusha tunatarajia kuwa na masoko mawili makubwa ya kisasaUjenzi upo asilimia nyingi tu View attachment 2545248
SawaHaina maana katika maendeleo ya mji ada ingia kwenye website kama unaleta mwanao but sizan Kam kwenye Uzi huu inahusika sana
What a view from this sideUsiwe unaleta magodown humu ........
What a view[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]🥸🥸View attachment 2545256
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nijazie nyamaSoko kuu la mwanza ujenzi upo 85%,,, ulikuja na upepo wa picha now umepoa[emoji1787][emoji1787]View attachment 2545245
Hapa kwa ujenzi wa soko nawapongeza kwa kutangulia kukamilisha, Arusha tunatarajia kuwa na masoko mawili makubwa ya kisasawa
Sasa kaka mwanza ilemela nayo tayar linajengwa soko kubwa pale palikuwa stand ya MABUS buzuruga na Hela tayar na wakandaras wanaanza mwezi wa nne ni kubwa kama la nyamagana, pia nyamagana watakuwa na soko tena buhongwa na lilitangazwa siku ya maazimisho ya CCM. Yaliyofanyikia hapa jijiniHapa kwa ujenzi wa soko nawapongeza kwa kutangulia kukamilisha, Arusha tunatarajia kuwa na masoko mawili makubwa ya kisasa
Mwanza tunatarajia kua na masoko manne makubwa ya kisasa soko kuu ujenzi 85%,kirumba 30% bado buswelu,igoma na buhongwa [emoji1787]Hapa kwa ujenzi wa soko nawapongeza kwa kutangulia kukamilisha, Arusha tunatarajia kuwa na masoko mawili makubwa ya kisasa
Takataka hizo mambo Iko huku
Hii ishatumwa tafadhali ..kauli mbiu hakuna kurudia
Aah hatua nzuri kwaiyo jumla yatakuw mawili sioSasa kaka mwanza ilemela nayo tayar linajengwa soko kubwa pale palikuwa stand ya MABUS buzuruga na Hela tayar na wakandaras wanaanza mwezi wa nne ni kubwa kama la nyamagana, pia nyamagana watakuwa na soko tena buhongwa na lilitangazwa siku ya maazimisho ya CCM. Yaliyofanyikia hapa jijini
Ngoja yuonee ama kwa hakika mwendazake aliwapendeleaMwanza tunatarajia kua na masoko manne makubwa ya kisasa soko kuu ujenzi 85%,kirumba 30% bado buswelu,igoma na buhongwa [emoji1787]
Kila kitu Mwanza iko juu
Nyerere monument street [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]..
Hili soko ni balaa tupu