KONK MASTER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,223
- 512
Kaka siwafagilii dodoma sjui niaje ila ukifika utaona lami wako nazo porini sema mji mdogo ndo hizo Barabara zafanya ionekane Iko gud, hayat alipendelea mno dodomaMkuu kuwepo sio shida ...ila angalia tangu Magu afe spidi ya mkoa huo imepungua mno ..na watu wanatoka huko wanasema hamna biashara kabisa...kuhusu lami sijui kwa tanzNia kama Kuna mkoa wa kuzidi K'njaro kwa bara bara za lami ..asee K'njaro asilimia kubwa ya ule mji uko na lami