Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Sasa Pale unaonaje palivochangamka brother ..japo Ngaramtoni sipajui fresh ila pamechangamkaa sanaa
Watu wa Mwanza mbona mmekumbia si mlijinadi nyie kuwa Kuna mijengo na maghorofa ..kumbe ghorofa lenu ndo ilo moja la NSSF mnalolipiga kwa kila engo
 
B

Bro zipo Zaid ya kumi hivi kumbe hat mwanz huijui wenzako bila kupaendelea watakujibu

Kuna lorete,isamilo,mwanza,buswelu, lake nk watamalizia wenzagu
Kumbe ata hujui maana ya international school, unadhani kila shule inayofundisha kwa kingereza ni international 🤣🤣 kazi kwelikweli.
 
Kumbe ata hujui maana ya international school, unadhani kila shule inayofundisha kwa kingereza ni international 🤣🤣 kazi kwelikweli.
We malaya jike soma vzr thread huko tushatoka ukiingiajitahid kupitia thread usikurupke PWAGU ewe
 
Yani Chuki kivipi?! Yan ufananishe Malaika na Serena una akili kweli wewe?!
Serena inabebwa na Jiji mkuu usikariri unaweza Kuta at Arusha Kuna hoteli mandhar nzur tu kupita Serena sema Serena wanainadi sana kupitia Jiji halafu hyo mmiliki mhuni TU anakwepag Kodi Hivi unaijua Serena ni Sheraton? Anachange jina TU siku akija rais KICHWA atalipa Kodi miaka 50
 
Yaani Arusha cbd bado wana barabara zina mitaro iliyo wazi ndani ya jiji, na hazina njia za watembea kwa miguu
 
Kenge mjamzito soma thread huko tushamaliza usituludishe nyuma malaya wa kike ew
Hyu mwanaKE ni wa kupuuza hawezi ushindani zaidi atatoa Matusi na hekaya zake et*washamba. Me hata sihangaiki nae
 
Serena inabebwa na Jiji mkuu usikariri unaweza Kuta at Arusha Kuna hoteli mandhar nzur tu kupita Serena sema Serena wanainadi sana kupitia Jiji halafu hyo mmiliki mhuni TU anakwepag Kodi Hivi unaijua Serena ni Sheraton? Anachange jina TU siku akija rais KICHWA atalipa Kodi miaka 50
Serena Sio Sheraton bana ...Sheraton ni wengine nadhan ni Hawa wamiliki wa hospital hizi za kihindi ni WA Pakistan
 
Back
Top Bottom