Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Hii thread pitia comment jamaa alikosolewa sana ..na kwa mantiki hii inaonesha mwanza bado sana kwenye upande wa good place na exposure
Ni ubishi TU kukosoa ila kama unahelabnjoo mwenyewe ukweli kuinjoy tunza na malaika panahitaji zaidi ya million kumi ndo utafrahia huwez enda maeneo hayo na million moja labda kunywa fourcousin two na nyama choma ila ule ulale weee kumbka kikwete alikuwa analalaga malaika na sio ikulu
 
Yani kwamba?![emoji23][emoji23]make hapo kwanza ncheke ...iyo Malaika kwa tunza ni level za wavuvi camp, grand Nolasco na Kitambaa tu
 
Yaaani kivipi? Aseee Arusha Kuna lami mpaka mitaani na sio mitaa ya matajiri ...Hadi mitaa ya maskin lami kunazo
Kaka mwanza lami ipo CBD yote na mitaani mfano Kwa ilemela Barabara ambazo hazikuwa na lami ni nyamhongolo to buswelu na AIRPOT to kayenze but now zote zmepewa fungu na ukipita at Leo utakuta grader linasawazisha hizo Barabara Kwa kuweka lami,,haya pia Barabara kitangir kuunga rock city mall nayo tayr imerekebishwa soon watapiga lami njoo nyamagana Barabara za mitaa zipo chini ya tarura na tayar wamepewa billion 3 kumaliza Barabara zote ambazo zilikua bado,
 
Hapana mianzini pale ni vumbi na tope,,morombo ndo usiseme kidogo Salina Ile high way ndo inaonekana vzr lakin kwingine huko mashamba ya migomba na tope boss uzur ARUSHA naijua vzr
 
Arusha sehemu yenye unafuu ni ni njiro,majengo na kijenge lakin hko USA RIVER, na ngalamtoni kwakweli hapana na Arusha ndo centre zake hizo
 
Yani kwamba?![emoji23][emoji23]make hapo kwanza ncheke ...iyo Malaika kwa tunza ni level za wavuvi camp, grand Nolasco na Kitambaa tu
Halafu nyie mikoan huko mnazanig wavuvi mwanza ni sawa na uonao pwani pole sana usichojua wavuvi ziwa Victoria ni sawa na mchimbaji madini bro amuka ni matajiri haswa ukiongelea njiwa pori,kitana nk ni hatari na ujue Jiji la mwanza linakua Kasi na ukubwa wake ni kutokana na shughuli hii ya uvuvi uliza wachaga wenzio walioko mwanza wakwambie uvuvi
 
Kaka mwanza lami ipo CBD yote na mitaani mfano Kwa ilemela Barabara ambazo hazikuwa na lami ni nyamhongolo to buswelu na AIRPOT to kayenze but now zote zmepewa fungu na ukipita at Leo utakuta grader linasawazisha hizo Barabara Kwa kuweka lami,,haya pia Barabara kitangir kuunga rock city mall nayo tayr imerekebishwa soon watapiga lami njoo nyamagana Barabara za mitaa zipo chini ya tarura na tayar wamepewa billion 3 kumaliza Barabara zote ambazo zilikua bado,
Sasa hata Arusha lami Iko kina mahali mfano mimi kwetu ni maeneo ya uswazi tu lakin lami imepita
 
Halafu nyie mikoan huko mnazanig wavuvi mwanza ni sawa na uonao pwani pole sana usichojua wavuvi ziwa Victoria ni sawa na mchimbaji madini bro amuka ni matajiri haswa ukiongelea njiwa pori,kitana nk ni hatari na ujue Jiji la mwanza linakua Kasi na ukubwa wake ni kutokana na shughuli hii ya uvuvi uliza wachaga wenzio walioko mwanza wakwambie uvuvi
Ujanielewa brother dar Kuna Club inaitwa Wavuvi Campa ..sijamanisha wavuvi wa samaki ..mana hata mimi moja ya biashara nifanyayo ni samaki ....nimemanisha sehem kam malaika napafananisha na Wavuvi Camp club
 
Arusha sehemu yenye unafuu ni ni njiro,majengo na kijenge lakin hko USA RIVER, na ngalamtoni kwakweli hapana na Arusha ndo centre zake hizo
Sasa Ngaramtoni umefika lini brother ..labda na USA umefika Lini brother..Ngaramtoni lami kila sehemu asee
 
Ngaramtoni ipi kuna lami kila sehemu sasa hivi kuna vumbi sana, nenda Olturumet au kule Ekenywa unaelekea Shamba Lodge barabara ina vumbi sana... ukipanda kule Olmotonyi na penyewe kuna vumbi...

Usa River afadhali maana barabara ya kule chini imepigwa lami... lakini ukipanda Dik Dik barabara imewekwa kifusi...
 
Ngaramtoni ipi unasema
 
Back
Top Bottom