Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Hii project hata Arusha ipo ..japo kiwanja kikuu Cha ndege ni KIAView attachment 2545237
Soko kuu la mwanza ujenzi upo 85%,,, ulikuja na upepo wa picha now umepoa[emoji1787][emoji1787]
mqdefault-1.jpg
 
Hapa kwa ujenzi wa soko nawapongeza kwa kutangulia kukamilisha, Arusha tunatarajia kuwa na masoko mawili makubwa ya kisasawa

Hapa kwa ujenzi wa soko nawapongeza kwa kutangulia kukamilisha, Arusha tunatarajia kuwa na masoko mawili makubwa ya kisasa
Sasa kaka mwanza ilemela nayo tayar linajengwa soko kubwa pale palikuwa stand ya MABUS buzuruga na Hela tayar na wakandaras wanaanza mwezi wa nne ni kubwa kama la nyamagana, pia nyamagana watakuwa na soko tena buhongwa na lilitangazwa siku ya maazimisho ya CCM. Yaliyofanyikia hapa jijini
 
Mwanza tunatarajia kua na masoko manne makubwa ya kisasa soko kuu ujenzi 85%,kirumba 30% bado buswelu,igoma na buhongwa [emoji1787]

Kila kitu Mwanza iko juu
 
Sasa kaka mwanza ilemela nayo tayar linajengwa soko kubwa pale palikuwa stand ya MABUS buzuruga na Hela tayar na wakandaras wanaanza mwezi wa nne ni kubwa kama la nyamagana, pia nyamagana watakuwa na soko tena buhongwa na lilitangazwa siku ya maazimisho ya CCM. Yaliyofanyikia hapa jijini
Aah hatua nzuri kwaiyo jumla yatakuw mawili sio
 
Back
Top Bottom