Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Kaka siwafagilii dodoma sjui niaje ila ukifika utaona lami wako nazo porini sema mji mdogo ndo hizo Barabara zafanya ionekane Iko gud, hayat alipendelea mno dodoma
 
Kwenye lami upande wa CBD mwanza iko vizuri zaidi kuliko CBD ya Arusha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…