Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Watu wa Mwanza na wasubiri Yani CBD ya mwanza inapigwa kwa angle tofauti na Ghorofa ni hilo moja tu ndo linaonekana Duuhh....Ukija kwenye Malls sasa ..malls ni moja tu Linapigwa picha Angle tofauti ....ngoja niwape dozi yenu ..muilipe
 
Leo Ndugu zangu wa Mwanza ..mpo location Geita ....hahaha Yani sehemu zenu zote za kuringisha zimeisha sasa mmejificha chini ya uvungu
 
Kamji kadogoo kwa mantiki ipi ...Mimi Leo sitaki maelezo lete picha ,niweke picha ...nishasema maneno kidogoo vitendoo zaid
Nitajie route ya masaa mawili hapo arusha utanielewa ninachomaanisha,,, kata mbili za nyakato na kirumba zinatosha kwa ligi na arusha
 
Watu wa Mwanza najua hii sio habari nzuri kwenu ila inabidi muipokee ..Leo nimejaribu kuchati Na AI ya ChatGTP na majibu yake yalikuwa ni haya[emoji1484]
 
Nitajie route ya masaa mawili hapo arusha utanielewa ninachomaanisha,,, kata mbili za nyakato na kirumba zinatosha kwa ligi na arusha
Mkuuu Mimi sihutaji maneno mengi ...wewe uje nikutembeze ...hapo juu nimekutumia majibu ya AI chatGTP yanajieleza
 
Ujue Hata Mimi ninaweza Amka Asubuhi nikatamka maneno yangu kwamba kwanzia Leo Kigoma Ndio Mkoa wa pili Kwa ukubwa Tanzania in terms of Development...lakin huku moyoni najua sio kweli kwamba Kigoma ni mkoa wa pili Kwa ukubwa kwa upande wa maendeleo
 
 
Watu wa Mwanza najua hii sio habari nzuri kwenu ila inabidi muipokee ..Leo nimejaribu kuchati Na AI ya ChatGTP na majibu yake yalikuwa ni haya[emoji1484]View attachment 2545935
Huyo jamaa alikuwa na mahaba na arusha et arusha ina good transpotation system kwa vipanya vilw, barabara zenye mashino, no pavements, hakuna walksides ni ovyo kabisaa, kuna route gani hapo ya kuvutia ndani ya hako kazizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…