shabanmbarak
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 1,178
- 1,150
Haman cha kiwanja kikuu bwana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii project hata Arusha ipo ..japo kiwanja kikuu Cha ndege ni KIAView attachment 2545237
Kwa akili yako arusha kuna bus TERMINAL kuzid mwanza, vip airport je railway [emoji23]Watu wa Mwanza najua hii sio habari nzuri kwenu ila inabidi muipokee ..Leo nimejaribu kuchati Na AI ya ChatGTP na majibu yake yalikuwa ni haya[emoji1484]View attachment 2545935
Sio jamaa huyo iyo ni Chat Gtp kweli mwanza Mko nyuma sana hata kwenye mambo ya technologyHuyo jamaa alikuwa na mahaba na arusha et arusha ina good transpotation system kwa vipanya vilw, barabara zenye mashino, no pavements, hakuna walksides ni ovyo kabisaa, kuna route gani hapo ya kuvutia ndani ya hako kazizi.
Shule au beeerSavannah international school
Eti Unategemea chat gpt .[emoji16][emoji16][emoji16]..we fala eti .....hyo chat GPT ni system na system haikosi error.hyo ni errorWatu wa Mwanza najua hii sio habari nzuri kwenu ila inabidi muipokee ..Leo nimejaribu kuchati Na AI ya ChatGTP na majibu yake yalikuwa ni haya[emoji1484]View attachment 2545935
Shule au beeer
Yeye si anaiamini hiyo chat GPT, Haya imemwambia kuna bus terminals, railway stations, airport and good transport systems,,,,, haya avilete hapa hivyo vitu tuvioneEti Unategemea chat gpt .[emoji16][emoji16][emoji16]..we fala eti .....hyo chat GPT ni system na system haikosi error.hyo ni error
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo kelele peleka kwenye shimpumu ..Ujue Hata Mimi ninaweza Amka Asubuhi nikatamka maneno yangu kwamba kwanzia Leo Kigoma Ndio Mkoa wa pili Kwa ukubwa Tanzania in terms of Development...lakin huku moyoni najua sio kweli kwamba Kigoma ni mkoa wa pili Kwa ukubwa kwa upande wa maendeleo
This is Arusha The land of god ...Haha Si mlikuwa mnataka Vyuma vikali mi nawapa...ukutuma moja mi nakutumia 5Hizo kelele peleka kwenye shimpumu ..
Hapa kazi tu [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2546513View attachment 2546514View attachment 2546515View attachment 2546516
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah unachekesha sana mkuu ndo nini hiziThis is Arusha The land of god ...Haha Si mlikuwa mnataka Vyuma vikali mi nawapa...ukutuma moja mi nakutumia 5View attachment 2546572View attachment 2546573View attachment 2546574