Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Huyo jamaa alikuwa na mahaba na arusha et arusha ina good transpotation system kwa vipanya vilw, barabara zenye mashino, no pavements, hakuna walksides ni ovyo kabisaa, kuna route gani hapo ya kuvutia ndani ya hako kazizi.
Sio jamaa huyo iyo ni Chat Gtp kweli mwanza Mko nyuma sana hata kwenye mambo ya technology
 
Ujue Hata Mimi ninaweza Amka Asubuhi nikatamka maneno yangu kwamba kwanzia Leo Kigoma Ndio Mkoa wa pili Kwa ukubwa Tanzania in terms of Development...lakin huku moyoni najua sio kweli kwamba Kigoma ni mkoa wa pili Kwa ukubwa kwa upande wa maendeleo
Hizo kelele peleka kwenye shimpumu ..
Hapa kazi tu [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
1678553951943.jpg
1678553942530.jpg
1678553918690.jpg
1678553928449.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom