Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Mkuu tunasemea maghorofa....Majengo yako ya aina nyingi hata nyumba ya udongo nayo ni jengo
Au arusha maghorofa yalihesabiwa hivi;
Wasiwasi wangu ni huu.
Mfano kuna jengo la tba pale Arusha lina ghorofa 10 na kaya zaidi ya 500 mle ndani.
Sasa karani inawezekana aliandika kila kaya inaishi kwenye nyumba ya ghorofa,
Kwa hiyo hapo tu wakapata ghorofa 500 wakati ni jengo moja.
Najaribu kuwaza tu, kwasababu nimeishi arusha sijawahi kuyaona hayo maghorofa, hapo cbd ghorofa haziidi 200 je hizo 7000 zipo wapi? Mwanza hizi takwimu zimetuhujumu nauhakika tunafikisha ghorofa 12,538 kulingana na report za majengo mkoa wa Mwanza, wanakaskazini mlivyo na sifa na sijui mtakwimu alikuwa na mtu wa kaskazin akaona hawaburudishe na nyie.

Mwanza ni jiji kubwa hapa EA, na endeleeni kulishwa ujinga wa idadi ya maghorofa fake.
 
Kwamba karani hawana ujuzi au mbona unataka kukaza fuvu nilichokuja kugundua ni kwamba nyie watu wa Mwanza ni mnabishana. Sio kwamba mnaenda kwa fact ...
 
Kwo conference yenu mnafanya malaika?! Duh kweli Mko nyuma ..nasisi tukiamua kupost conference centre za kibo palace, Gran Melia? Duh kweli Bado Mko nyuma
Mdomo bila picha ni upumbavu tu, leta hayo majalala yenu tuyaone.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]..au walikuwa wanahesabu floor..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba karani hawana ujuzi au mbona unataka kukaza fuvu nilichokuja kugundua ni kwamba nyie watu wa Mwanza ni mnabishana. Sio kwamba mnaenda kwa fact ...
Hizo takwimu kawaaminisheni wapumbavu wenzenu au wapenda siga wenzenu, wakazi wa mwanza au natives of rock city ni watu wa IQ kubwa kuliko sehemu yoyote hile, huwa hatubase kwenye porojo za kugushi, na data uchwara.

Njoo kwa ground hapa leta neighbourhooda zenu nikubali, unaleta picha moja moja n picha zenyewe za dar hapo ndio kabisa naona arusha hamkufikisha hata ghorofa 200, hao watayarishaji wa data sijui walibase kwenye utumbo gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…