Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Hizi topic huwa inakera? Wanaozianzisha sijui wanawaza nn na wana umri gani?Kumekuwa na sintofahamu kati ya Majiji haya mawaili yanatotikisa Tanzania ukiachilia Dar.
Majiji haya yamezua gumzo miongoni mwa watu kwa kujaribu kuyashindanisha lakini pamoja na kuyashindanisha kote bado watu hawajapata jibu la moja kwa moja kwamba ni mji gani mzuri na una fursa kubwa za kimaisha kuliko mwingine pamoja na ukuaji wa maendeleo.
Karibuni mchangie
😬😬 Arusha inazidi kuchapa Mwanza in and out 👇Huna jipya
Hii hapa 👇We ya Arusha ya kutisha iko wapi .
Hakika mwanza ndio jiji la pili kwa ukubwa Tanzania...DSM ikae chonjo.Rock City...[emoji95][emoji95][emoji95][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]..haters lazima mnune mwaka huu View attachment 2319514View attachment 2319515View attachment 2319516
Vya Duniani sio vyetu havitusaidii..Mbona ulivyofunguka hikubaki huko Duniani uko Bongo?Ushamba Ushamba. Vitoto vinatambiana magorofa.. Threads za kishamba. Magorofa kwa washamba ndio maendeleo. Hebu tafuteni pesa mkazunguke duniani, muione dunia, mkirudi hamta tambiana na hivyo vigorofa vinavyomilikiwa na wanaume wenzenu