Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Kumekuwa na sintofahamu kati ya Majiji haya mawaili yanatotikisa Tanzania ukiachilia Dar.

Majiji haya yamezua gumzo miongoni mwa watu kwa kujaribu kuyashindanisha lakini pamoja na kuyashindanisha kote bado watu hawajapata jibu la moja kwa moja kwamba ni mji gani mzuri na una fursa kubwa za kimaisha kuliko mwingine pamoja na ukuaji wa maendeleo.

Karibuni mchangie
Hizi topic huwa inakera? Wanaozianzisha sijui wanawaza nn na wana umri gani?
 

Attachments

  • 20220727_203220.jpg
    20220727_203220.jpg
    98.3 KB · Views: 23
  • 20220727_203226.jpg
    20220727_203226.jpg
    75.7 KB · Views: 20
  • 20220727_203305.jpg
    20220727_203305.jpg
    61.9 KB · Views: 22
Mwanza mnasoma figures za Arusha lakini? 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220803-092910.png
    Screenshot_20220803-092910.png
    43.1 KB · Views: 18
  • Screenshot_20220803-094105.png
    Screenshot_20220803-094105.png
    49 KB · Views: 14
  • Screenshot_20220803-094042.png
    Screenshot_20220803-094042.png
    46.7 KB · Views: 19
Zile taarifa watu wa Mwanza wakiziona huwa wananuna 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220805-214110.png
    Screenshot_20220805-214110.png
    127.7 KB · Views: 12
  • Screenshot_20220805-211351.png
    Screenshot_20220805-211351.png
    130.3 KB · Views: 17
Kwamba Mwanza ndio eti inashindana na Arusha👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220811-130217.png
    Screenshot_20220811-130217.png
    212.8 KB · Views: 11
  • Screenshot_20220810-193825.png
    Screenshot_20220810-193825.png
    156.5 KB · Views: 11
  • Screenshot_20220810-153639.png
    Screenshot_20220810-153639.png
    120.5 KB · Views: 11
  • Screenshot_20220809-195822.png
    Screenshot_20220809-195822.png
    99.8 KB · Views: 10
  • Screenshot_20220809-074134.png
    Screenshot_20220809-074134.png
    133.9 KB · Views: 10
Arusha inang'ara na kila mtu anaifahamu hapa Duniani na angependa kufika👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220810-075834.png
    Screenshot_20220810-075834.png
    126.9 KB · Views: 10
  • Screenshot_20220808-233550.png
    Screenshot_20220808-233550.png
    137.7 KB · Views: 10
  • Screenshot_20220812-202217.png
    Screenshot_20220812-202217.png
    109.5 KB · Views: 10
Huu mradi mbioni kufufuliwa 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220811-123614.png
    Screenshot_20220811-123614.png
    143.3 KB · Views: 8
  • Screenshot_20220811-123657.png
    Screenshot_20220811-123657.png
    109 KB · Views: 12
Ushamba Ushamba. Vitoto vinatambiana magorofa.. Threads za kishamba. Magorofa kwa washamba ndio maendeleo. Hebu tafuteni pesa mkazunguke duniani, muione dunia, mkirudi hamta tambiana na hivyo vigorofa vinavyomilikiwa na wanaume wenzenu
 
Mara ooh Arusha bila Utalii hakuna kitu..

Watu wanazidi kuumbuka huku 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220809-080858.png
    Screenshot_20220809-080858.png
    94.7 KB · Views: 13
Ushamba Ushamba. Vitoto vinatambiana magorofa.. Threads za kishamba. Magorofa kwa washamba ndio maendeleo. Hebu tafuteni pesa mkazunguke duniani, muione dunia, mkirudi hamta tambiana na hivyo vigorofa vinavyomilikiwa na wanaume wenzenu
Vya Duniani sio vyetu havitusaidii..Mbona ulivyofunguka hikubaki huko Duniani uko Bongo?

Taahira wewe hujaitwa humu,majukwaa yako mengi Sana jf.
 
Back
Top Bottom