Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Hizi topic huwa inakera? Wanaozianzisha sijui wanawaza nn na wana umri gani?Kumekuwa na sintofahamu kati ya Majiji haya mawaili yanatotikisa Tanzania ukiachilia Dar.
Majiji haya yamezua gumzo miongoni mwa watu kwa kujaribu kuyashindanisha lakini pamoja na kuyashindanisha kote bado watu hawajapata jibu la moja kwa moja kwamba ni mji gani mzuri na una fursa kubwa za kimaisha kuliko mwingine pamoja na ukuaji wa maendeleo.
Karibuni mchangie