Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Huku zipo nying sanaaa mda wa kuzunguka ndo nakosa kaka
Mimi nimekuletea picha za njiani[emoji3] hapa nyasaka nikiamua kuzunguka kupiga picha lazma ukimbie.

Angalia hii aerial view ya nyasaka niljipiga kwa kutumia simu umbali wa km 2+

Nikienda huko chini kupiga picha nyumba moja moja humu mtakimbia
 
Aah We kama hata moja moja we piga tu usiogope ...madam na mim sijamua kuingia location we piga
 
Me huniwez na wala hamtaniweza, kwani hapa tunaelimishana na nini yaani jiji la Mwanza liige nini hapo Arusha, na hapa wote tupo kwaajili ya ligi kama haupo kwaajili ya battle umekuja kutafuta nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…