Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Acha uongo Mwanza Dar ndo route ya abiria wengi wa Local! Tena kwa abiria wa ndani nyinyi arusha hamfikii hata nusu ya Mwanza!
 
Side effect za ARV + canabis=?
 
Asante kwa taarifa lakini Mwanza hakuna Super Najimunisa Wala Zuberi Coach

Sent from my SM-N950U using JamiiForums mobile app
 
Jiwe alijua kuwaoendelea ila safari hii tutaoneshana makaliii...
Mkuu kwani tunavita na nyie, sisi Mwanza hatujawahi kutegemea sadaka na upendeleo kutoka serikalini, na msitegemee kama mtatufikia au kutuzidi, na kama kuna watu serikalini wenye akili na mawazo kama yako wanadhani wanaikomesha Mwanza naona wanapoteza muda na nguvu zao tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…