Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Leo asubuhi nimefika "KIJIJI CHA WAVUVI" nimehuzunika sana. Mkoa uko nyuma sana kwenye mambo ya kisasa, Yaani ATCL wanatoa Dreamliner kuja Mwanza abiria hatufiki hata 50!!! Watu wa huku wamezoea Super Najimunisa na Zuberi coach. Aibu sana, bora hili li-dege lingeenda A-Town kwa wajanja lisingekosa abiria 300. View attachment 2570742View attachment 2570743
Acha uongo Mwanza Dar ndo route ya abiria wengi wa Local! Tena kwa abiria wa ndani nyinyi arusha hamfikii hata nusu ya Mwanza!
 
Leo asubuhi nimefika "KIJIJI CHA WAVUVI" nimehuzunika sana. Mkoa uko nyuma sana kwenye mambo ya kisasa, Yaani ATCL wanatoa Dreamliner kuja Mwanza abiria hatufiki hata 50!!! Watu wa huku wamezoea Super Najimunisa na Zuberi coach. Aibu sana, bora hili li-dege lingeenda A-Town kwa wajanja lisingekosa abiria 300. View attachment 2570742View attachment 2570743
Side effect za ARV + canabis=?
 
Asante kwa taarifa lakini Mwanza hakuna Super Najimunisa Wala Zuberi Coach

Sent from my SM-N950U using JamiiForums mobile app
 
Hahaha so poa A town
Screenshot_20230330-074504.jpg
 
Jiwe alijua kuwaoendelea ila safari hii tutaoneshana makaliii...
Mkuu kwani tunavita na nyie, sisi Mwanza hatujawahi kutegemea sadaka na upendeleo kutoka serikalini, na msitegemee kama mtatufikia au kutuzidi, na kama kuna watu serikalini wenye akili na mawazo kama yako wanadhani wanaikomesha Mwanza naona wanapoteza muda na nguvu zao tu.
 
Back
Top Bottom